kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,319
- 12,622
Wasiojuwa mpira walimkera sana kocha kwa kufungwa 1-0 ugenini, viongozi na mashabiki walimzodoa, kejeli na mtishia eti kwanini kafungwa. Baada ya kupindua kibabe meza na kupata matokeo aliwaprove wrong wale wote waliomsimanga na kutishia kumfukuza. Hivyo baada ya ushindi ule wa 4-0 akaona isiwe tabu bora aachane na simba ambayo haitakiwi kufungwa hata mara moja.
"Hakuna timu timu isiyofungwa duniani, hii simba ni tofauti kabisa".
Hii habari ya familia yake na nini ni geresha tu. Simba ni washamba sana kwa mujibu wa kocha.
"Hakuna timu timu isiyofungwa duniani, hii simba ni tofauti kabisa".
Hii habari ya familia yake na nini ni geresha tu. Simba ni washamba sana kwa mujibu wa kocha.