Kilichomkimbiza Sven ni kejeli za kufungwa na FC Platinum Zimbabwe

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,233
12,508
Wasiojuwa mpira walimkera sana kocha kwa kufungwa 1-0 ugenini, viongozi na mashabiki walimzodoa, kejeli na mtishia eti kwanini kafungwa. Baada ya kupindua kibabe meza na kupata matokeo aliwaprove wrong wale wote waliomsimanga na kutishia kumfukuza. Hivyo baada ya ushindi ule wa 4-0 akaona isiwe tabu bora aachane na simba ambayo haitakiwi kufungwa hata mara moja.

"Hakuna timu timu isiyofungwa duniani, hii simba ni tofauti kabisa".

Hii habari ya familia yake na nini ni geresha tu. Simba ni washamba sana kwa mujibu wa kocha.
 
"Hakuna timu timu isiyofungwa duniani, hii simba ni tofauti kabisa"

Mkishamaliza kuwanga kutakucha lakini. Afu maisha yataendelea
 
Yanga mnajezi za madera zipo spesho kabisa mmezishona wenyewe.
Akuna mwanamke mbea asievaa dera,yani piga uwa wanawake wambea awakosi madera kabatini.
Mama yako analo dera pia, nae ni mbeya? Huna adabu kwa hapo. Simba ikifungwa hata kwenye mashindano ya kuwania Kuku kocha atapewa misukosuko. Sven imemkera nyashu nyie.
Yanga mnajezi za madera zipo spesho kabisa mmezishona wenyewe.
Akuna mwanamke mbea asievaa dera,yani piga uwa wanawake wambea awakosi madera kabatini.
Najua muda si mrefu mtaiga tu, dunia ya wajanja imeshafika huko.
 
Wasiojuwa mpira walimkera sana kocha kwa kufungwa 1-0 ugenini, viongozi na mashabiki walimzodoa, kejeli na mtishia eti kwanini kafungwa. Baada ya kupindua kibabe meza na kupata matokeo aliwaprove wrong wale wote waliomsimanga na kutishia kumfukuza. Hivyo baada ya ushindi ule wa 4-0 akaona isiwe tabu bora aachane na simba ambayo haitakiwi kufungwa hata mara moja.

"Hakuna timu timu isiyofungwa duniani, hii simba ni tofauti kabisa"

Hii habari ya familia yake na nini ni geresha tu. Simba ni washamba sana kwa mujibu wa kocha.
Asante kwa taarifa mama Sven
 
gongo wazi mtatukana matusi mengi sana! mtatoa kejeli za kila aina ila mkumbuke simba ndo tunazidi kupiga hatua hivyo.. zamani wakati wa kuchezeshwa draw na CAF tulikuwa tunawekwa kwenye pot 4 sasa hivi tumesogea tunawekwa pot 3 msimu ujao utatuona pot 2 wakati majirani zetu bado mnahagaika kuzijua hata hizo pot,,,, endeleeni na umbea wenu huku wenzenu tunachanja mbuga
 
Wasiojuwa mpira walimkera sana kocha kwa kufungwa 1-0 ugenini, viongozi na mashabiki walimzodoa, kejeli na mtishia eti kwanini kafungwa. Baada ya kupindua kibabe meza na kupata matokeo aliwaprove wrong wale wote waliomsimanga na kutishia kumfukuza. Hivyo baada ya ushindi ule wa 4-0 akaona isiwe tabu bora aachane na simba ambayo haitakiwi kufungwa hata mara moja.

"Hakuna timu timu isiyofungwa duniani, hii simba ni tofauti kabisa".

Hii habari ya familia yake na nini ni geresha tu. Simba ni washamba sana kwa mujibu wa kocha.
 
Attachments

  • IMG-20210109-WA0010.jpg
    IMG-20210109-WA0010.jpg
    71.3 KB · Views: 1
Siamini kocha anaweza kuacha kazi kwakuwa amelaumiwa kupoteza mchezo.
Makocha wote Duniani wanapitia misukosuko hiyo.
Lawama zipo na maisha yanaendelea
 
Hakuna kocha anaeondoka wakati timu yake iko kwenye mashindano makubwa, tena inafanya vizuri. Hiyo offer ya FAR Rabat kama ndiyo sababu angeweza kuisubirisha hadi Simba itakaposhida kombe au kuishia hapo itakapoishia kwenye mashindano ya CAF. Mashindano ya CAF yanampa heshima na kupandisha thamani ya kocha.

Mbona Kaze yanga walimsubiri?

Kocha bhana aliondoka kwa kuogopa kuondoka kwa aibu kama Patric Aussems, Eymail, Zahera, nk kaona heri aondoke sasa kwa heshima badala ya kusubiri filaun wamfukuze
 
Kwahiyo hiyo kuifikisha timu hatua ya makundi ndiyo mafanikio ya kocha mzuri?
i
 
Kwani Simba imetolewa? Timu imeingia makundi na haijacheza hata mechi moja, niambie ni makocha wangaii duniani walishawahi kuziacha timu zao katika stage kama hiyo?
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom