Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

Mabadiliko ni vitendo ni vema tuungane tuyatende na yaonekane yakifanyika.
 
E.L ndiyo mkombozi wa nchi hii kwa sasa imefahamika.Taarifa kutoka maeneo mbalimbali ya nchi hii wanaimani naye na kwamba hamna cha magufuli wala cha mtu yeyote anayeweza kushindana naye.

viva ukawa

Unamsubiri mwanasiasa aje akukomboe pole sana. All politicians belongs to the same DNA. Take care
 
Back
Top Bottom