Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

whaaaaaaat?? Yaani sasa hivi ni wana Umoja wa Kuleta Mabadiliko? Mbona wanamtumia mtu kutoka kule kule wanapotaka kutofautiana napo?

Mmasai kaingia disco ndo hawa wahuni wa Ukawa, wafanyabiashara wamepotea njia ya k.koo wamechukua barabara ya Ikulu wakati Ikulu si kwa kuchuuza biashara ..tutawasaidia waende k.koo ila tuwacharaze fito kwanza
 
Mamaako alikuzalia mto mara wakati akivuka kwenda masai mara baada yakulambwa namamba wa serengeti Nyumbu mse..nge wewe

UKiwa na akili timamu huwezi kutumia lugha ya matusi katika mtandao eti kumtukana mtu kwa sababu yeye kakutukana. Kuwambia wenzio nyumbu na kutegemea mrejesho wa heshima ni jambo la ajabu sana na nadra kutokea na hasa kwa maadili ya sasa ya kitanzania.

Ni vizuri ukawa wa kwanza kuwaheshi wenzi ili nao waweze kukuheshimu. Kutukanana humu ndani sidhani kama ni jambo la busara.

Sie tunatafuta Rais na atatoka either CCm au CHADEMA kupitia muungano wao wa UKAWA na hapa huwezi kubisha au kulazimisha hisia zako ziwe za kila mtu.

Tumieani jukwaa hili kuelimishana kistaarabu maana tunaosoma maoni yenu tuko wengi sana na tunataka kuona hoja zenye hekima na busara na si matusi.
 
Sawa mkuu nimekuelewa lakini wakati mwingine jazba inazidi hekima asante kwa kunikumbusha
 
Sawa mkuu nimekuelewa lakini wakati mwingine jazba inazidi hekima asante kwa kunikumbusha

Ni kweli kwamba wakati mwingine tunajawa na jazba nyingi pasipo kufikiri,. NI vema kabla ya kutoa maoni ukatafakari kwa kina namna ulivyokereka na mawazo ya mwenzio ili kama umeudhika usimjibu hapo hapo kwa kuwa utatumia matusi.
Binafsi naomba mjenge hoja ili tuelewe kwa huyu anasema Maguli ni bora kuliko Lowassa au Lowassa bora kuliko Magufuli.

Mwisho wa siku Rais atakuwa wetu sote awe Lowassa Magufuli au mwingine yeyeote nje ya hawa tunaowajadili sana katika mitandao.
 
ulipoteza hera zako ulisikiliza nini sasa pale mkuu ni aibu na kama umeenda shule basi ni aibu zaidi na unazalilisha usomi wako,

kwa kifupi am fed up with ccm baaasi, kuna mambo kadhaa ambayo sikubaliani na lowasa ila kura ntampa.
 
58 Reactions
Reply
Back
Top Bottom