Kilichojiri kesi ya David Kafulila

Kilichojiri kesi ya David Kafulila

Jamaa kakomaa sana na kama angekuwa anaangukia Pua lazima angetaka wafungue masanduku ila sababu ushahidi anao toka zamani basi makaratasi yatampa ushindi
 
Namuombea sana HASNA ashinde hiii kesi nitajipongeza kwa kujizawadia Hummer..... Simpendi hyo jamaa..


hasna juu juu zaidiiii
Na vile alivyotamba bungeni kuwa jimbo sasa limepata mbunge baada ya miaka mitano ya kukosa maendeleo!!!!!!!
Omba saaaaana.....
Lakini ujue Mungu hutoa haki tuuu.
 
Kwa kutumia fomu namba 21 kuhesabu kura atashindwa kafulila. Hongera jaji mtenda haki
 
1.Mwendelezo wa kesi ya kamanda KAFULILA Leo katika mahakama kuu kanda ta Tabora.

Jaji wa mahakama kuu kanda ya Tabora amesema mahakama itatumia kujumulisha matokeo yaliyoko kwenye form namba 21 ambazo zilizo na matokeo ya jimbo zima.

2. Hata hivyo jaji kaelekeza mahakama haitofungua masanduku ili kuhakiki matokeo ambayo ndio ilikuwa hoja ya HASINA ambaye ndiye aliyetangazwa kuwa mbunge.

3. Mungu anaendelea kututendea haki awajaze uzima wale ote wanakwenda kumalizia kazi nyepesi ya kujumulisha matokeo.
 
Na vile alivyotamba bungeni kuwa jimbo sasa limepata mbunge baada ya miaka mitano ya kukosa maendeleo!!!!!!!
Omba saaaaana.....
Lakini ujue Mungu hutoa haki tuuu.
vipi wanafuatilia lini mdau tar.ngapi mungu mkubwa!!
 
kama namuona mbunge wa kubebwa alivyo bwabwaja bungeni sasa pia anafikiria jinsi anavyo acha mkopo wa m 90 ya gari du mwisho wa kicheko ni kilio!!
 
pole yake Kafulila.
asubiri kidogo mambo yatakuwa poa.
 
Kwa kutumia fomu namba 21 kuhesabu kura atashindwa kafulila. Hongera jaji mtenda haki
Nakala ya hizo fomu namba 21 zilizosainiwa na mawakala vituoni anazo Kafulila na zinaonesha kwamba alishinda, atashindwaje sasa?! Walalamikiwa wakijaribu kubadili matokeo kwenye hizo fomu kwa kughushi wata "complicate" zaidi hili shauri. Usisahau, miongoni mwa mashahidi muhimu wa mlalamikaji ni hao waliokuwa mawakala vituoni.
 
Namuombea sana HASNA ashinde hiii kesi nitajipongeza kwa kujizawadia Hummer..... Simpendi hyo jamaa..


hasna juu juu zaidiiii

Kafulila anajulikana kwa sababu ya kufichua ufisadi. Hicho ndicho kinachokufanya umchukie Mkuu au una jambo jengine.
 
Ikitokea Mbunge aliyepo anavuliwa Ubunge, zile hela 90m/-alizokopeshwa za kununua gari itakuwaje?
 
Natabiri na Nipo tayari,Narudia nipo tayari kupigwa ban ya maisha,Endapo Kafulila hatoshinda kesi yake ya ubunge.
Kwa mwenendo ulivyo mpaka sasa sioni wapi Ccm wanatokea,Haki ya kafulila ipo wazi na itapatikana,Believe me or not.
Moderator Huu uzi ubaki hapa kama hukumu yangu,Siku tu mahakama itatoa hukumu na Kafulila ikiwa ameshindwa,Nami Pigeni BAN
Wanasheria makini wataungana nami kwa hili.
 
Back
Top Bottom