Kilichojiri kesi ya David Kafulila

Kilichojiri kesi ya David Kafulila


HUYU JAMAA ANA PES KAFULILA ATAPITIA WAPI?

SETH.JPG


HAKUNA MWANAHARAKATI ASIYEMKUBALI D. KAFULILA LAKINI KWA MFUMO WA UTAWALA WA HII NCHI YETU, JAMAAN TUWEKEANE USHAHIDI, KAFULILA HAWEZI KUTINGA MJENGONI, CCM WAMESHA CALCULATE KILA KITU NA WANAJUA KAFULILA ATAFELI WAPI, BINAFSI NILISIKITIKA SIKU NILIPOSIKIA KAFULILA , MACHALI NA WENJE WAMEPIGWA CHINI, NILILIA SANA COZ KILA MTU ANAJUA MICHANGO YAO MJENGONI, HATA HIVYO NITAZIDI KUMWOMBEA JEMBE KAFULILA ATINGE MJENGONI JAPO NAFASI YAKE FINYU SANA....
 
Naamini hauna unachonizidi si ki pesa,,Kielimu n.k....Tatizo La watu mlokuwa katika maisha Magumu,huwa wavivu sana Wa kufikiri
Umetumia kigezo gani? au ndio mafundisho ya Mirembe? kwa taarifa yako JF hawajawahi andaa mashindano ya pesa na/au elimu
 
Ukijumlisha matokeo yaliyo kwenye fomu namba 21 Kafulila kashindwa! Kafulila kapoteza muda wa bure....
Hapana, ukujuklisha za kwenye masanduku zilizochakachuliwa Kafulila kashindwa. Lakini ukijumlisha za kwenye fomu 21 ambayo ndiyo matokeo halisi vituoni, Kafulila kashinda. Hakuna namna, apewe ubunge wake kama walivyoamua wapigakura.
 
Hapana, ukujuklisha za kwenye masanduku zilizochakachuliwa Kafulila kashindwa. Lakini ukijumlisha za kwenye fomu 21 ambayo ndiyo matokeo halisi vituoni, Kafulila kashinda. Hakuna namna, apewe ubunge wake kama walivyoamua wapigakura.
NGOJA TUONE.....
 
Naomba kujulishwa, Matokeo ya mshindi wa ubunge yakitenguliwa je aliyeshika nafasi ya pili ndiye anapewa ubunge Au uchaguzi unarudiwa?
 
Mimi nataka mnijulishe ndugu hivi majimbo ambayo yana kesi za uchaguzi m bunge aliyetangazwa kipindi hicho na kesi iko mahakamani walihuzuria vikao vya bunge
 
Naamini hauna unachonizidi si ki pesa,,Kielimu n.k....Tatizo La watu mlokuwa katika maisha Magumu,huwa wavivu sana Wa kufikiri
ngozi nyeusi cc iko shida#kujigamba kote ya nn!!!kwani ww unamjua huyu bwana...
 
huyu Husna akiwa mkuu wa wilaya ya Tandahimba alizuia mgombea wa cuf kutangazwa mshindi akatumia mbinu hiyohiyo kwa kafulila sasa kibao kimegeuka



Kuwa makini unapochangia hoja,jina lako limeandikwa kwa penseli kwenye ile orodha ya L46b7.Usije ukafutwa jina ukabaki unatulilia hapa jukwaani.Au akili zimeanza kukurudia ewe kamanda muasi?
 
mungu yu pamoja nawe kafurila nina uhakika soon utarudishiwa ushindi wako mahakama si kama jecha kule zanzibar kwa mkurunzinza 2.
 
Back
Top Bottom