Kilichojiri kesi ya David Kafulila

Kilichojiri kesi ya David Kafulila

Huyu kafulila anaweza kurudi mjengoni naiona kabsa kuwa urejeo wake upo nje nje kama mahakama ikijumlsha matokeo ya form no 21 bhac jamaa atashnda ninachokiona hapa mahakama itende haki na mungu akamsimamie kafulila ukisoma methali 28.13 inasema kila silaha itakayosimama juu yako haitafanikiwa kamwe mungu atakutetea kafulila lipo kusudi na utashnda kama ulishnda kweli utashnda
 
Kama haki itatendeka Kafulila ni Mbunge anayesubiri kutangazwa
 
Natabiri na Nipo tayari,Narudia nipo tayari kupigwa ban ya maisha,Endapo Kafulila hatoshinda kesi yake ya ubunge.
Kwa mwenendo ulivyo mpaka sasa sioni wapi Ccm wanatokea,Haki ya kafulila ipo wazi na itapatikana,Believe me or not.
Moderator Huu uzi ubaki hapa kama hukumu yangu,Siku tu mahakama itatoa hukumu na Kafulila ikiwa ameshindwa,Nami Pigeni BAN
Wanasheria makini wataungana nami kwa hili.
Moderators kwa nini bado huyu jamaa hajapigwa ban?
 
Moderators kwa nini bado huyu jamaa hajapigwa ban?
Kama hata wewe fisadi Chenge aka vijisenti aka nyoka mwenye Makengeza, bado uko mitaani, hapana, bado uko bungeni kwa nini Kibo10 asiendeleee kuwa humu ndani ya JF?
 
Back
Top Bottom