Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
Tundu Antipas Lissu.. Kiboko ya Masisiemu
Endeleeni kujifariji ubunge ni Wa huyo Mh Hasna...Ccm oyeeeeutayamba.....!!
Unaweza nielekeza ilipo hospitali ya Mirembe?Namuombea sana HASNA ashinde hiii kesi nitajipongeza kwa kujizawadia Hummer..... Simpendi hyo jamaa..
hasna juu juu zaidiiii
Naamini hauna unachonizidi si ki pesa,,Kielimu n.k....Tatizo La watu mlokuwa katika maisha Magumu,huwa wavivu sana Wa kufikiriUnaweza nielekeza ilipo hospitali ya Mirembe?
Hapana chezea mtani wanguHii mutu ni moto ya kuotea mbali
1.Mwendelezo wa kesi ya kamanda KAFULILA Leo katika mahakama kuu kanda ta Tabora.
Jaji wa mahakama kuu kanda ya Tabora amesema mahakama itatumia kujumulisha matokeo yaliyoko kwenye form namba 21 ambazo zilizo na matokeo ya jimbo zima.
2. Hata hivyo jaji kaelekeza mahakama haitofungua masanduku ili kuhakiki matokeo ambayo ndio ilikuwa hoja ya HASINA ambaye ndiye aliyetangazwa kuwa mbunge.
3. Mungu anaendelea kututendea haki awajaze uzima wale ote wanakwenda kumalizia kazi nyepesi ya kujumulisha matokeo.
Yaani nisivyompenda David naomba asishinde hii kesi. Ashindwe na kulegeaNamuombea sana HASNA ashinde hiii kesi nitajipongeza kwa kujizawadia Hummer..... Simpendi hyo jamaa..
hasna juu juu zaidiiii
Bora aisee Kabisa kishindwe kabisaaaaaaaYaani nisivyompenda David naomba asishinde hii kesi. Ashindwe na kulegea
Mkuu,Yaani nisivyompenda David naomba asishinde hii kesi. Ashindwe na kulegea