Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,999
- 27,974
Hiki ni kipimo cha udumavu wa akili, halafu usikute huyu naye ndiyo wale wachaambuzi uchwara.


Hiki ni kipimo cha udumavu wa akili, halafu usikute huyu naye ndiyo wale wachaambuzi uchwara.


Kiko wapi?jezi nyeusi hazijawahi kumuacha mtu salama. endelea kuota.
Ubingwa hauji kwa wewe kusema.YANGA ni bingwa, sitanii... kwa 100%
mashetani yameingilia game yetu.Kiko wapi?
Kuna ukichaa mwingine unaozidi hapa?Furaha bila taji lolote ni uchawi na ukichaa, hapa ndio mtawajuwa wanaochota nyayo zenu mitaani na kuiba chupi zenu kupeleka kwa waganga kuwaroga.
Kuchukia mafanikio ya mwingine ni uchawi kamili.
Relax KalpanaKukojowaa...unaweza kweli hata kumkojolesha mtu ww...
.Namkera tuu Dr Matola PhD sina baya nae..Relax Kalpana.
Furaha bila taji lolote ni uchawi na ukichaa, hapa ndio mtawajuwa wanaochota nyayo zenu mitaani na kuiba chupi zenu kupeleka kwa waganga kuwaroga.
Kuchukia mafanikio ya mwingine ni uchawi kamili.




wee baba utakufa kwa pressure bureeee, wee sio wa kwanza kukosa kombe ktk final, why uvurugwee hivyooo?Yaan wee achaa tyuuhHahahaa! Lol
Pole babu mwenye phd yake feki mjini...
Yani sio mpk unioe ndo nikuloge hata ww naweza kukuloga huko huko uliko..
Mnaumia sana na mimi naona..yani mnakerwaa mno kuliko mnavyokerwa na joto lenu huko daslam ...sasa ndo nitawekera mpk mnyooke.. hasa kwa nyie baadhi yenu mnaochukulia vitu serious.






woiiiiiiiiiihPamoja sana.Namkera tuu Dr Matola PhD sina baya nae..
Mimi naona wachinjaji ndiyo wameula mkenge wa jogoo la kienyeji!Mtasema mengi wale mabwana zenu waarabu wanachinjwa, chaka lenu linapotea