HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,445
- 6,207
MTU aliye kufa na kuku iliyo kufa kuku au mbuzi anafaida maana anaweza wekwa kwa friji lakini binadamu anatupwa mavumbini
utaota![]()
![]()
hapa ni nduki tu,,
Hapa ni maombi tu,,utaota
Kuna mahali nilisema maiti ni mzoga, mchangiaji mmoja akasema sikuwa sahihi kusema hivyoMfalme Sulemani alitafakari sana alikuwa na pesa alikuwa na wanawake wengi alikuwa na hekima lakini alipokumbuka kifo vyote akasema ni ubatili mtupu!!! Akasema haina tofauti na mnyama ambaye naye anakufa
Yap ni ukweli mchungu!! Ng'ombe akifa nyama watu wanakula kinyesi chake mbolea kichwa supu ya kichwa miguu supu ya kongolo ngozi watu wanatengeneza viatu mikanda... Lakini akifa binadamu thamani hana kila mtu anamuogopa ni kama mzoga tu;!!!Kuna mahali nilisema maiti ni mzoga, mchangiaji mmoja akasema sikuwa sahihi kusema hivyo
Mwingine kasema maiti ya kuku ina thamani kuliko ya binadamu kwakuwa wakati ya binadamu ikienda kufukukiwa ardhini ya kuku itaenda kuhifadhiwa kwenye friji! Huyu nimemuelewa
komaa mkuu sala muhimuHapa ni maombi tu,,
View attachment 393968sikutaka tuwe na post leo..ilikuwa tupumzike..mishemishe za kilingeni jana zilikuwa si haba
Lakini hebu tujadili kidogo hili la maiti(sio marehemu)
Maiti ni mzoga pumzi ikishatoka imetoka kinachofuata ni mchakato wa kuanza kuoza/kuvunda, kuharibika na baadae kuwa mabaki ya mwili na vile utakavyozikwa navyo kama ukibahatika kuzikwa (si kila mmoja anajaaliwa mazishi)
Pamoja na mazishi ya gharama sana pamoja na majeneza ya thamani kubwa pamoja na kuzikwa na Vito na vitu vingine vya thamani..kilichofutikwa humo ni uvundo mtupu......
Ukishafukiwa kifuatacho ni uvundo tuu hadi nyama zote zitakapoliwa na funza na bakteria chini ya ardhiView attachment 393975
Upuuzi wa wengi ni pale marehemu kabla ya kifo chake Kuteseka na kuugua sana bila misaada ya ndugu na marafiki...ama la kwa wale wanaojiweza kufanya mazishi ya kufuru kwenye mwili unaooza
Dhima ya kufanya yote haya ninini?
Sifa?
Upendo?
Kujali?
Kumbukumbu?
Kuiga?
Kila mmoja wetu anaweza kuwa na jibu lake lakini vyovyote iwavyo tukubali tukatae kufuru kwenye mzoga wakati kuna watu bado wana uhitaji ni laana
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
baniani baya sana..choyo sana baniani