Kili Music Awards 2011

Huyu Maimartha Jesse mbona kawa Tipwatipwa hivi...........dah
 
Nimejaribu kuangalia show yenyewe kwangu ilikuwa torture imebidi nirudi kuangalia Al-jazeera hapa! Kwa ufupi:

a. Ipo haya ya kuanzishwa kwa Tanzania Academy of Music - ambacho kitatokana na kile Chama cha Wanamuziki Tanzania (CHAMUTA??)
b. Ndio wao watatakiwa kuandaa tuzo ya muziki ya kitaifa ambao wapiga kura wake ni wanachama watupu wa chama hicho-
c. Academy ndio iuze haki za kutangaza mashindano haya na kuyaandaa..

Vinginevyo, yawezekana kulikuwa na raha kama uko ndani ya ukumbi lakini ukumbini ni vurugu tu; yaani hata kutumia spot light imekuwa ngumu.
 
Yaani mwaka huu wamechemka mbaya!
 
Elimu kwa wanaume wote wanaopanda kwenye stage na wanaume wengine wote wa kitanzania. Mwanamke hakumbatiwi! Mwanamke anabusiwa. hug the gentleman but kiss the lady please!
Mnangangania kukumbatia wadada wa watu tena mnawagonga as if ni mwanaume mwenzako. Mtaumiza wake za watu. Kwenye event Mwanamke hua anabusiwa hakumbatiwi. Take that..
 

POINT!!! Hear! Hear! Pia wanahitaji mtaalaam mzuri wa sound engineering otherwise utumbo wote tunaousikia sasa utatufanya tuzidi kudharau tuzo hizi
 
Ahahahaah! Kumbe ndio hivyo nilikuwa silijui hili.
 
Sasa Stara ataimba nini zaidi ya zilipendwa! Its like listening to Georgina in 2011!
 
POINT!!! Hear! Hear! Pia wanahitaji mtaalaam mzuri wa sound engineering otherwise utumbo wote tunaousikia sasa utatufanya tuzidi kudharau tuzo hizi

BiMkubwa upoooo!!?? yaani, ni kama tumeumbwa kuwa watu wa substandard.. we are inspired to be great; just to be minimum! like a nation of bare minimum!
 
tishet ya stara haijaandikwa '***' **** si ndio au macho yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…