Kili Music Awards 2011

hii stage giza kweli, wapambaji wanafanya hii kitu imekuwa third class kwenye third world country
 
Hawa wote lazima tuwachane kwenye ANTVIRUS ijayo wasilete ungese hapa! Wanapeana peana tu!
yaani hawa mwaka huu kuna upuuzi umefanyika kama miaka iliyopita, sijui kwa nini hawarekebishi haya makosa madogodogo!
 
kili muzik award bado yaitaj alot of maboresho
Ndo ninavyoona pia. Yani hazinipi hata hamu ya kuhudhuria, wanashindwa kurekebisha mambo madogo sana, wasanii wanaimba as if hawakuandaliwa wanashindana na vipaza sauti, inasikitisha.
 
Back
Top Bottom