Kilevi chamtia matatani Tiger Woods!

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,468
911,181
Screenshot_2017-05-29-22-35-15.png
Screenshot_2017-05-29-22-35-43.png
Screenshot_2017-05-29-22-35-37.png
Screenshot_2017-05-29-22-35-07.png
 
Jamaa mtaalam wa kugonga miti na nguzo za road. Yeye always hizo hagongagi gari au mtu barabarani noo.. Duuu.
 
Huyu jamaa tangu aumbuke kwa kupata ajali akifuata mchepuko wake hajapaki salama kabisa, sson atazama kwenye unga asipojisalimisha kupata ushauri nasaha, pole zake..
 
Mwanaume siku zote ni victim mkubwa sana akiachwa na mwanamke ambaye bado yupo moyoni mwake ni wachache wanaoweza ku-handle hali hii
 
Back
Top Bottom