Kile kiti kwenye Guest house cha nini?

Kwani hapo kwenye kitu hatafuniki?
 
Mkuu umenikumbusha siku moja niliingia na mtoto mkali baada ya kusumbuka kwa muda mrefu sanaaaa na aliingia ndani kwa mbinde.. eti akaniuliza hivi wewe umenileta humu kufanya nini? Na mimi nikamuuliza hivi humu ndani unaona kuna bembea tubembee? au kuna bao tupange kete? au unaona kuna vyombo vya kuosha humu? Akacheka sana kisha akaanza kusaula. Sipendi maswali ya kijinga ninapofanya uwekezaji mkubwa wa muda na shekeli.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…