Nahitaji kiti Cha saloon(barbershop chair)

Kipondo Cha ugoko

JF-Expert Member
Apr 12, 2023
654
1,042
Wakuu husikeni na mada hapo juu. nahitaji kujua wapi nitapata kiti kama hichi Cha Saloon ya kiume kwa budget ya 700k, nahitaji viti viwili vipya lkn vya muundo kama huu. Au kama Kuna mtu anavyo anaviuza plz nichek dm. Viwe vipya tu sio used.

Screenshot_20240417-090127.jpg
 
Subiri mkuu, hili jukwaa huwa linasomwa na watu wachache sana, tena mara nyingi usiku pindi watu wanapokuwa hawana cha kufanya.

Ungekuwa mjanja, hii mada yako ungeipachika kwenye jukwaa la "Hoja na Habari Mchanganyiko". Kule waingiaji ni wengi, hivyo angepata wachangiaji wengi na wa haraka katika uzi wako, na pengine saa hizi ungekuwa ushapata jibu kama kuna mtu anacho nk.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom