Kile kiti kwenye Guest house cha nini?

Sijui mi nilisoma vizuri uzi. Jamaa anauliza kuhusu kile kiti cha plastiki kinacho wekwa kwenye vyumba vya guest, ati ni cha kazi gani?? Huleteleza usumbufu aingizwapo kuku wa kienyeji kuchinjwa. Inasumbua sana kwani anawahi kujikunyatia pale kwenye kiti. Inachukua muda sana kumtoa pale na kumuelekeza quiblat!! Sasa wewe unaleta tena tv?? Ongeza sauti ili watu wengine wasisikie kelele zenyu.
Kwani hapo kwenye kitu hatafuniki?
 
Mkuu umenikumbusha siku moja niliingia na mtoto mkali baada ya kusumbuka kwa muda mrefu sanaaaa na aliingia ndani kwa mbinde.. eti akaniuliza hivi wewe umenileta humu kufanya nini? Na mimi nikamuuliza hivi humu ndani unaona kuna bembea tubembee? au kuna bao tupange kete? au unaona kuna vyombo vya kuosha humu? Akacheka sana kisha akaanza kusaula. Sipendi maswali ya kijinga ninapofanya uwekezaji mkubwa wa muda na shekeli.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom