Kile kipindi ambacho nilipotea

Nilirejea Nyamisati kutoka pale gezani bandari bubu jioni ya siku hiyo, nikiwa na mipango ya kwenda Mafia lakini kufika pale nikakuta boat jahazi imeshajaa hivyo nikapewa matumaini ya kuondoka mchana wa kesho yake kulingana na mahitaji ya abiria kuwa wengi
 
Mshana Jr.....bungu-nyanjate-nyamisati.......Naona ulipita vijiji hivyo baada ya kuacha kilwa road....Ulifika shule mama mstaafu wa mjengo mweupe
 
Mkuu hivi hamna dawa ya utajiri isiyokuwa na masharti
Uliona WAP hela ya shetani ikaenda bure,utavuma Kwa muda tu baadae majuto tu,km yule alievuma na mabasi kila kona aipiti miezi magari yake kuanguka naona saa hizi kwishnei kabani jina tu mabus inabid akafugie Kuku.Tafuta utajiri wa kudumu Kwa akili zako.Achana na huo wa sponji huwezi lipia gharama zake.
 
Mshana Jr.....bungu-nyanjate-nyamisati.......Naona ulipita vijiji hivyo baada ya kuacha kilwa road....Ulifika shule mama mstaafu wa mjengo mweupe
Si ndio ya kwanza kwanza ukiingia Nyami mjini?
 

Tupia picha na ss tumuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…