Majibu ya waheshimiwa Mawaziri
Nimemshukuru sana Mh mama Kilango kwa kuwaumbua, baadae saa 7 mchana katibu wao mh mhagama amewaita wabunge wakinamama wote wa CCM, wana kikao chao mama spika amewatangazia!
Kama akikemewa na wenzio ktk kikao chao kw kumuumbua n waziri, Mwana jamvi atakaye pata habari atujulishe!
Aina ya majibu yale yanatokana na uvivu wa kufanya kazi zao na kufikiri, so njia rahisi ni kujibu wanavyojisikia kusema lolote mbele ya bunge!
Na tena huwa hawaoni aibu kabisa..., wakichoka kusema la maana huwa wana msamiati wao wa
''SUNGURA WETU NI MDOGO BADO HAJAKUWA!!''