Kila Waziri anatakiwa kuwa mbunifu kwenye Mraba wake

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
680
1,338
Kama kila waziri atakuwa mbunifu kupitia wizara yake anayoingoza nadhan watakuwa wametenda jambo jema na kutimiza wajibu wao


Kila Waziri aitishe kongamano na wadau Nchi nzima na kuanisha mpango mkakati wake na wadau watoe maoni yao

Hili litakuwa jambo zuri na kumpunguzia Mh Rais Magufuli mambo mengi ambayo Mawaziri yapo ndani ya uwezo wao


Ili kuweza kufanikisha haya Ubunifu ndio nyenzo kuu na kushirikisha wadau wote


Alex Fredrick
Dar es salaam
+255 758 308494
 
Back
Top Bottom