kila siku makelele why!


Safi sana Smile,

Mbona hujatutajia characters wa hii drama?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hakuna anayeingia katika mahusiano akitegemea kugombana na mwenzi wake wa ndoa au mpenzi. Kila mtu anakuwa na matarajio makubwa katika mahusiano.

Kwa kuwa umesema kuwa haujaolewa mwanangu "kua uyaone." Maneno siyo matendo katika ndoa.
 
Hakuna anayeingia katika mahusiano akitegemea kugombana na mwenzi wake wa ndoa au mpenzi. Kila mtu anakuwa na matarajio makubwa katika mahusiano.

Kwa kuwa umesema kuwa haujaolewa mwanangu "kua uyaone." Maneno siyo matendo katika ndoa.
nishakua sana tu nayaona
 
Kwani huyo ndiye baba wa baby wako unayemmiss kila sekinde? Kama ni mshika pembe wa kawaida unaweza kumtwanga likizo na ukiendelea mishe mishe yako with little or no harm at all.
 

I married my best friend ,trust me it's worth it
 
kwa kweli hili kila siku mi nalisema wanandoa mkiwa sio marafiki mbona hyo ndoa inakuwa balaa!yani full kuogopana mtu hata huwezi kusema hapa panawasha nikune!hapa kuna kijipele niangalie tena unasema huku unaonesha kabisa!sasa mtu mume ndo ka babako mzazi na mke ndo kama mamako mkubwa lazima ujikunyate!kisa?unamuogopa!
jamni si hata ukiwa na hamu ya maji ya kunnywa unabaki kujikunyata tu unasubiri uanzwe au kama ni mwanaume unapiga zile za MAMA SIKUJUI,UMELALA?nae anajibu HATAA! basi hapo ndo game linaanza!matokeo yale kila siku 4-4-3
hata siku moja hambadilishi formula kisa oh hizi ndo kipa anazijulia !
m
 
Ila jamani ni kwa nini yale maneno ya uchumba ya mpenzi, darling, sweet, n.k na vile vijikadi na vijizawadi vinaishia siku ya ndoa? Kama tungekuwa tunaendeleza haya basi urafiki ungeendelea kuwepo!!!! Yaani uchumba/urafiki fake kabisa!!! Lots of pretence!!! Matokeo yake siku mbili tu mmeshaanza kupelekana kwa wasimamizi, wazazi, marafiki, housegirls/boys eti wanakuwa ndo waamuzi wa maugomvi yenu.
Ukiona watu wamevaa suti zao maofisini na mipete mikubwa kidoleni nyingi ni geresha tu!!! wanatamani wavue!!! Dah, kitendawili.
 
Kwani huyo ndiye baba wa baby wako unayemmiss kila sekinde? Kama ni mshika pembe wa kawaida unaweza kumtwanga likizo na ukiendelea mishe mishe yako with little or no harm at all.
mshika mkia tu huyu
 

Hapo sasa ndo watu wajue kuwa usanii ni kitu virtual...huwa hakipo kwenye maisha ya kawaida....

Hakuna mtu anaweza kuishi kisanii milele...nina hakika hata comedians wanayaweza yale wanayoyafanya wakiwa kazini tu....

Hivyo vionjo vya kwenye uchumba na dating, kwa kiasi kikubwa ni usanii kama ulivyo usanii mwingine.

Babu DC!!!
 
mshika mkia tu huyu


Huko mbona umempeleka karibu na home...ungeendeleza pale pale nilipoishia ningeamini kuwa hisa zake ni negligible....Ila huko kwenye tail Mama Baby,a.k.a Smile...ni karibu na mjini na inawezekana kumbe hata hisa zake ziko juu zaidi nilivyohisi mwanzoni.

Au nakosea mjukuu wangu??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Mwenzangu mwoskwito sikuwezi! Mara hii unawaza valentine? Wakati hata redio na tv hazijaanza kutukumbusha na red colours? Kweli wajua kuyawaza mapenzi?

Nazisubiria mvua hapa nimelima sijui tunapanda nini na lini, mweh!
Dahh?!

Hapa kweli lazima ujiulize "kila siku makelele why"

Poleni nyote wawili, ni upepo mbaya tu unavuma....utapita tu,
BTW valentine day is only 3-months away 😀
 
I married my best friend ,trust me it's worth it


This makes sense. Wenye experience tofauti ni wale waliooa sex mate. Na sex mate si kazima akawa friend.
Tatizo demands za ujana zinablind macho sex mate aonekane rafiki. So Unaoa sex mate halaf baadaye unakuta si rafiki yako kwa kweli na hakuna mnachofanana. Tatizo huanzia hapo.

So labda for other people's benefit humu jf Natalia. Hebu define rafiki wa gender nyingine anakuwaje?
 
Unanipeperushia ndege wangu mkuu...chuna!
duuuh nasikia wakererw na muha ni wachawi balaaa..unataka kunishikisha vibuyu eeeh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…