Kila shimo na utamu wake

Hii bajaji ni mtu kabisaa??!!
Au mwenyewe kamkabidhi dereva tu ye anachukua hesabu?!!

Hivi China ndio mtu kafungwa kwa kuweka bango la watu wakiwa uchi??!!
 
kutokana na rangi ya bajaj, basi mii kimya!
 
umepitia mashimo mangapi hadi sasa

Umesoma hapo chini kwenye bajaji anzia hapo juu kwanza halafu inapita barabarani na trafik wanaiangalia hii nadhani itakuwa photoshop kama ni ya ukweli basi ntashaanga ya firauni.
 
kila shimo na utamu wake..na kila fimbo na uchungu wake..
 
NASAHA ZA GURU Bujibuji.

SHIBE NI BABA WA MAOVU YOTE. KUZISHINDA TAMAA ZA DUNIA NI LAZIMA UJINYIME. JINYIME KULA, FUNGA, SALI NA UTAHAJUDI (MEDITATE) NAWE UTAISHI MAISHA MAREFU YENYE RAHA, FURAHA NA AMANI.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…