Kila shetani na mbuyu wake.

Kila shetani na mbuyu wake.

Mkuu... tupe mfano hai, vipi kuhusu wewe? Una pesa ama huna na je umeoa?
 
Kuna mashetani Wengine mibuyu yao ilisha ng'olewa...sasa yapo wandering mitaani
 
hahahaa!! Ujumbe mzuri. Hapa JF mabinti wote matawi.
Type zetu hamna hapa...
Nimefurah umeweka wazi wewe bado student.
 
Kuna mashetani Wengine mibuyu yao ilisha ng'olewa...sasa yapo wandering mitaani

Hivi unajua kuwa dodoma kuna mibuyu mingi sana mkuu The Boss!!!

Kwa mfano huu ambao naona unaungwa mkono na watu wengi sishangai hao mashetani walitoka mibuyuni na kuwaingia wabunge wa bunge maalum la katiba, tafrani ni pale mashetani kutoka mibuyu ya ccm inayopatikana chimwaga na chamwino ni meeengi ajabu na kwa kukamilisha ushetani wao wanataka mjadala wa katiba utokane na rasimu ya mashetani.

WENYE AKILI ZAO WAMESEPA.

HII NI KUTOKANA NA "SHETANI NA MBUYU WAKE"
 
Last edited by a moderator:

Mweeeee!
 
Last edited by a moderator:
Umepotosha umma,unaposema kila shetani na mbuyu wake hatumaanishi kwa kuangalia vitu vichache kama we umeangalia katika swala la kipato,ni vema ungesema kila mtu atafute mke/mume wa hadhi yake hii inateta maana.

Jamaa yupo strait sana we unapindisha maneno tuu
 
Hivi unajua kuwa dodoma kuna mibuyu mingi sana mkuu The Boss!!!

Kwa mfano huu ambao naona unaungwa mkono na watu wengi sishangai hao mashetani walitoka mibuyuni na kuwaingia wabunge wa bunge maalum la katiba, tafrani ni pale mashetani kutoka mibuyu ya ccm inayopatikana chimwaga na chamwino ni meeengi ajabu na kwa kukamilisha ushetani wao wanataka mjadala wa katiba utokane na rasimu ya mashetani.

WENYE AKILI ZAO WAMESEPA.

HII NI KUTOKANA NA "SHETANI NA MBUYU WAKE"

hahahhahahahahha hivi ccm imeingiaje hapa...nimechekajee...tupo MMU mkuu sio siasani
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom