Naishiwa Mara nyingi tuu and the best option ni kukaa nje ya jf zaidi ya wiki hadi nitakapootea Vocha.Yani miaka yote hiyo huijui leo na wewe unajiita wa maisha ya chini? Ina maana hujawahi ishiwa bundle kabisa
Waaacha weeeeNaishiwa Mara nyingi tuu and the best option ni kukaa nje ya jf zaidi ya wiki hadi nitakapootea Vocha.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Acha "UwongoNaishiwa Mara nyingi tuu and the best option ni kukaa nje ya jf zaidi ya wiki hadi nitakapootea Vocha.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Mnatumia iPhones ' halafu hapa mnazuga kuwa hamna bundle ... mnaogopa kuwa tuta waomba hela !? cutebWaaacha weeee
Haha mkuu yule jamaa hajafikia unene huoMbona Kama Jacob wa Ubungo Chadema
😂😂🏃🏃🏃Mnatumia iPhones ' halafu hapa mnazuga kuwa hamna bundle ... mnaogopa kuwa tuta waomba hela !? cuteb
Sent using Jamii Forums mobile app
There is a 90% chance, kuwa huyo mwanaume mnene kapendewa hela na huyo mwanamke Mzigua90
Sisi pangu pakavu tia mchuzi mnatutenga[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Unalialia utazani mwanafunzi
Ubarikiwe [emoji23][emoji23]Okay kwa ambao hamna Mb ni hivi.
Ni harusi, mdada kavaa gauni na shela (kama bibi harusi wanavyovaaga) na mbaba ambaye naweza kusema ni "jitu la miraba minne" ana mwili mkubwa, na kitambi kama chote.
Sasa wanaingia ukumbini wakicheza kwaito na wageni wana washangilia.
Naambatanisha na picha zao.
View attachment 1007295View attachment 1007297
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.