Kila shetani na mbuyu wake

Ahsante kwa msaada maana hizi mb zikiisha na hivi vyuma namna vilivyokaza ingekuwa shida
 
Dah !! Jitahidi aise .. huo mwili sio mzuri kabisaa ...

Vipi ukiwa na mwili kama huo una kutana na changamoto zipi katika jamii ... including masuala ya uchumi na mahusiano !?

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mtaani wanakuita big popa tu..wanawake ndio kabisa wote unawaita mashemeji ...Nani anataka mwili huo mkuu hatuna budi kupungua ila mie sijafika huko mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa niaba ya watumiaji wa freebasics napenda kusema asante sana...
 
kwa niaba ya watumiaji wa freebasics napenda kusema asante sana...
Naona watumiaji wa free basic mpo wengi sana humu .... Ajabu ukianzishwa uzi wawatu wenye maisha mazuri wa Jf ... members wote wa jf utawakuta wamehamia kwenye huo uzi ..... wanaanza kushindana kutaja Aina za magari .simu za bei ghari na viwanja wanavyopenda kwenda (kidding)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaha tumeamua kumpa mark zuckerberg our privacy,,,
on internet You can be anything you want to be,ingawa haiondoi uhalisia kumbe ni watumiaji wa tecno za button.
when in rome do as roman,,hahaha iphone yangu battery low
 
Hahaa ... hata mimi samsung galaxy s10 yangu naona ipo Low pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante na mimi wa frii besikis nimefaidi uzi 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…