Kila shetani na mbuyu wake

Kumbe sina haja ya kutafuta SIX PACKS.[emoji3][emoji3]...Ila Wanawake Salute kwenu maana hii njemba.mmmhhh..

#Muungwana_John
 
Sasa jeee niache kununua beer mm nipunguze stress zangu na kuongeza damu eti ninunue bundle la kudownload video jf hapana kwakweli
Hahaa wewe ukose hela ya bundle kweli !! ... ila sawa sishangai maana nimeshajibiwa kwamba ni rahisi kununua wine kuliko bundle

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe sina haja ya kutafuta SIX PACKS.[emoji3][emoji3]...Ila Wanawake Salute kwenu maana hii njemba.mmmhhh..

#Muungwana_John
Yaani tafuta hela tu mkuu ... hayo mambo mengine ya six Pack mbwembwe tu ... ukiwa na six pack then huna hela jiandae kuwa baunsa wa club

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…