Okay kwa ambao hamna Mb ni hivi.
Ni harusi, mdada kavaa gauni na shela (kama bibi harusi wanavyovaaga) na mbaba ambaye naweza kusema ni "jitu la miraba minne" ana mwili mkubwa, na kitambi kama chote.
Sasa wanaingia ukumbini wakicheza kwaito na wageni wana washangilia.
Naambatanisha na picha zao.
View attachment 1007295View attachment 1007297
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Lol .. wewe sio wakuwaza mb bhana " Unanunua amarula .leo hii uwaze gharama ya bundle kweli !?
Hahah MB tatizo
Kununua bundle ni kugumu kuliko kununua chupa ya wine ujueLol .. wewe sio wakuwaza mb bhana " Unanunua amarula .leo hii uwaze gharama ya bundle kweli !?
Sent using Jamii Forums mobile app
Iwe sita na nusu siyo?That's my girl .. umetisha " CUTE .. huyo sio miraba minne mkuu ongeza miraba miwili na nusu mingine tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah MB tatizo
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Kabisaa ... kwenye kwich kwich huyo binti akilaliwa kwa juu anaweza akapenya kwenye godoro ..nakutokea upande wa piliIwe sita na nusu siyo?
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Okay kwa ambao hamna Mb ni hivi.
Ni harusi, mdada kavaa gauni na shela (kama bibi harusi wanavyovaaga) na mbaba ambaye naweza kusema ni "jitu la miraba minne" ana mwili mkubwa, na kitambi kama chote.
Sasa wanaingia ukumbini wakicheza kwaito na wageni wana washangilia.
Naambatanisha na picha zao.
View attachment 1007295View attachment 1007297
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Mhh !!Asante mpenzi nilikuwa nawaza nani ataniambia kilichopo kwenye hiyo video
Oooh!! Maana nilikuwa naplan kwenda uzi mwingine.Okay kwa ambao hamna Mb ni hivi.