Kila sehemu tunapigwa mateke! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila sehemu tunapigwa mateke!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Waberoya, Mar 11, 2009.

 1. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #1
  Mar 11, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280
  Muslims who want to live under Islamic Sharia law were told on Wednesday to get out of Australia , as the government targeted radicals in a bid to head off potential terror attacks..


  Separately, Rudd angered some Australian Muslims on Wednesday by saying he supported spy agencies monitoring the nation's mosques.

  Quote:

  'IMMIGRANTS, NOT AUSTRALIANS, MUST ADAPT. Take It Or Leave It. I am tired of this nation worrying about whether we are offending some individual or their culture. Since the terrorist attacks on Bali , we have experienced a surge in patriotism by the majority of Australians. '

  'This culture has been developed over two centuries of struggles, trials and victories by millions of men and women who have sought freedom'

  'We speak mainly ENGLISH, not Spanish, Lebanese, Arabic, Chinese, Japanese, Russian, or any other language. Therefore, if you wish to become part of our society . Learn the language!'

  'Most Australians believe in God. This is not some Christian, right wing, political push, but a fact, because Christian men and women, on Christian principles, founded this nation, and this is clearly documented. It is certainly appropriate to display it on the walls of our schools. If God offends you, then I suggest you consider another part of the world as your new home, because God is part of our culture.'

  'We will accept your beliefs, and will not question why. All we ask is that you accept ours, and live in harmony and peaceful enjoyment with us.'

  'This is OUR COUNTRY, OUR LAND, and OUR LIFESTYLE, and we will allow you every opportunity to enjoy all this. But once you are done complaining, whining, and griping about Our Flag, Our Pledge, Our Christian beliefs, or Our Way of Life, I highly encourage you take advantage of one other great Australian freedom, 'THE RIGHT TO LEAVE'.'

  'If you aren't happy here then LEAVE. We didn't force you to come here. You asked to be here. So accept the country YOU accepted.'

  Maybe if we circulate this amongst ourselves, WE will find the courage to start speaking and voicing the same truths.  Tuna tatizo?? kwa nini sisi kila sehemu??
   
 2. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #2
  Mar 11, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  'This culture has been developed over two centuries of struggles, trials and victories by millions of men and women who have sought freedom'
   
 3. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #3
  Mar 11, 2009
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Ukihamia kwa jirani yako usimfanye abadilishe lifestyle yake kukufurahisha wewe. Inabdi ni wewe mwenyewe ubadilishe lifestyle yako ili jirani yako huyo akukubali.
   
 4. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,193
  Trophy Points: 280
  Kila nchi ina sheria zake, sasa kama mtu mgeni anaingia nyumba ya watu na kulazimisha sheria zibadilishwe ili wenyeji wafuate sheria zake, tutashangaa kama wenyeji watamwambia "Hizi ndizo sheria zetu, kama huzitaki nenda kwengine''? Ulishawahi kusikia Mu Australia kaenda Saudi Arabia analazimisha Wa Saudi wasifuate sheria zao, itakuwa kituko.
   
 5. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #5
  Mar 12, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280
  Swali ni kuwa hii akili ya kuthubutu kufanya haya inatoka wapi?? maana achilia mbali wahamiaji kama hawa, lakini kuna nchi ambazo kikatiba hazina dini! kama Tanzania, lakini cha ajabu hata kwenye hizo nchi bado tunalazimisha wengine waguate tutakavyo sisi! je kuna mtu anajua misingi ya dini yetu hii, maana naanza kuwa na wasiwasi ati!
   
 6. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Waberoya,

  You seem to have something hidden in your mind....please speak it all man it's your right!
   
 7. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nyinyi kina nani?,

  Australia kuna Waislamu ambao ni Waaustralia kiasili, acha wahamiaji kama wale kutoka Indonesia, Malaysia na sehemu nyingine duniani. Sasa hawa Waaustralia Waislamu waende wapi?, na pia kudai chochote cha Uislamu ndani ya nchi yao ya asili ni kosa?. Nadhani wanatakiwa kujibiwa matakwa yao kwa hoja na si vitisho na kejeli.
   
 8. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Nafikiri hapa ni obvious anazungumzia WAISLAM

  Na kutokana na habari hapo juu.....wanaohusika hapa ni IMMIGRANTA sio Australians.....see below;

  'IMMIGRANTS, NOT AUSTRALIANS, MUST ADAPT. Take It Or Leave It. I am tired of this nation worrying about whether we are offending some individual or their culture.
   
 9. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2009
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Hii mada ni ngumu maana unaweza kuwa buned anytime. Waachie hao hao wa Australia watajua wenyewe wafanyeje'
   
 10. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  NL, nilisoma hilo,ndio nikauliza kuwa ndani ya Australia kuna Waislam ni Waaustralia kiasili, sio wahamiaji. Na hawa jee wakidai haki zao za Uislamu wataambiwa waende wapi?. Ndio nikasema mtu anapodai kitu hujibiwa kwa hoja na si vitisho na kejeli.
   
 11. M

  Mkereme JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2009
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 251
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  No comment otherwise the post will be removed by the editor. Wajameni this forum kuna maoni yanafutwa kwa mtaji huo this is not safe let simple minds na waoga wa wazo mbadala tu wachangie. This is the problem with Tanzania. ciao??????
   
 12. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Nimekusoma mkuu, lakini nafikiri hawajamaa wamekuwa mdogo hivyo pengine wamefanya utafiti na kuona labda waislam wazawa wako labda indifferent kwenye mambo ya kiislam na pengine hawa wahamiaji ndio wanadai haki hizo na hivyo wanaweza kuambukiza sumu hiyo kwa wale walio lala!
   
 13. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Hapo juu ulikuwa na maana gani?
   
 14. M

  Malila JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2009
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Wapi kwingine mlikopigwa teke tutajie?
   
 15. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #15
  Mar 12, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160

  Wakuu huyu jamaa aliyemwaga hiyo kitu alishawahi kuwa JF member nini? Kwa kuwa he/she dares to speak openly without any Kunyanzi. Mimi hata sijui ametoa wapi hizo Guts. Anyways watu na nchi zao!!!
   
 16. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #16
  Mar 12, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280
  Utakuwa nabii wewe! wakati mwingine kusema visivyosemeka ni ngumu, hujasikia yaliyompata mwinyi? ni wa kundi letu, ni wa kwetu, lakini kibao kikatoka mbele ya watu, wakasema bangi, kwa nini bangi imfuate mwinyi??

  kwa sababu umeanza vizuri ebu otea nataka kusema nini hapa? I mean kwa hali tete ya taifa letu lisilo na dini, limegubikwa na matatizo yote, ila dini inafunika hayo matatizo yasionekane, kana kwamba tukisolve haya ya dini basi mengine yote tumesolve...naona kama nimeanza
   
 17. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #17
  Mar 12, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280

  Ni waziri mkuu huyu wa Australia, nadhani Mods, wawasiliane naye, tumpe umemba wa kudumu na wa heshima-" Honorary membership" halafu pengine kupitia haya maamuzi yake- JK atasikia,
   
 18. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #18
  Mar 12, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mkuu Wabe,

  No!no!no! siwezi endelea kuotea unachotaka /ulichoanza kusema ndugu yangu! Km mwinyi wa ''kwenu'' watu wamemsulubisha hivi, na je nikisema mimi.....ooooh no! Anyway infact umeshasema yote hapo....lkn nakuonya usijezabwa vibao ndugu!
   
  Last edited: Mar 13, 2009
 19. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #19
  Mar 12, 2009
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,763
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono hoja!

  Unajua binadamu tuna matatizo makubwa especially na hizi dini..why impose your values on others? kwa nini usifanye mambo yako kimya kimya? Duh...yaani mimi hapa nachoka kabisa...
   
 20. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #20
  Mar 13, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280
  Bado una tabia za kinabii nabii, maana ungechangia tu... , kwa sababu hauonekani physically ungesomewa AL---DIR. hii kitu hatari unaweza ua yeyote hata kama wewe una makosa, yaani hapa Allah hana cha msalie mtume, wala msamaha, tabia yake ni kuua tu!

  Anyway usihofu, mimi mtoto wa Mkuu ndio maana natamba, mzazi anayo ''maghost'' makali zaidi!

  Usihofu sasa unaweza kuchangia vipi kama Idea hii ikija Tanzania???

  1. Wafukuzwe waislamu wote?????
  2.Au wote tuwe na mahakama zetu za kidini, then
  3. Chuo kikuu wafunge idara ya sheria mana hakutakuwa na mahakimu kama hawa wa leo.

  HAKIMU WA KIKRISTO ANAKUWA NA BIBLIA KUBWA NA KADHI ANAKUWA NA QURAN KUBWA BASI MAISHA YANAENDELEA!!!

  Lakini hii ya kulazimisha dini yetu itawale dini zingine , nachelea tutapata matatizo katika kampeni yetu, anyway ha kama Kikwete alitakaiwe hivyo nadhani amejua siyo ukiwa rais unaweza KILA KITU!

  Ooh! wasije nigundua kwa ktumia nguvu zile .....za 'asili'
   
Loading...