ndio mtapata akili. kama mnashindwa kuvumilia dini za wenzanu, basi katafuteni ulimwengu wa kwenu peke yenu huko kwenye mars au satun au hata pluto, muishi peke yenu na sharia law. hapo ndo patakuwa patamu. ila mkiishi na sisi wa dini zingine,lazima mtuheshimu. tukitaka kula viti moto vyetu lazima mtuache tule, ni haki yetu. mkituletea za kuleta, tutawalisha kitimoto na ninyi.
I support ausiees. kwanza wao ni wahamiaji, si warudi kwao kwenye sharia?