😱 aisee! Hapa lazima maji yafuate mkondo.Wote mnaosema pepo mnazingua sanaaaaa
Sio kila kitu mapepo wangine ndo walivo zaliwa au ukoo wao utakuta babu ana wake 7 na hawara 9
Baba ana wake 8 na hawara 11
Sasa mtoto akiwa kama huyu mtashangaaa
Sent using Jamii Forums mobile app