Kila ninayemtongoza ana mtu

jaribu na kakapoa
 
Kupata msichana chuo ukiwa mwanafunzi kuna mawili:
1. Uwe na hela, na
2. Uwe kipanga siyo kilaza...ezeka vibanda vya kutosha na GPA za kiume kila semester utapata yule unayemtaka, hata mtoto wa Vice Chancellor utakula!
 
Fanya kitu kimoja, mpange mchizi wako mmoja mwenye gari aje darasani kipindi kikiwa kinaendelea, amuombe lecturer kuwa anatangazo kuwa kuna mtu mwenye gari namba T ngapi ngapi Toyota Verrosa amemblock na yeye anataka kutoka, kwahiyo kama yupo humu ndani basi aje asogeze gari yake.

Mzee hakikisha siku hiyo unakaa mbele ili wakati unatoka kila mtu akuone huku ukichomoa funguo kiunoni.

Ukifika nje mchizi wako anawasha gari yake halafu anaizima, then anaiwasha tena anaondoka.

Ukirudi, wiki hiyo ukiomba namba hutonyimwa, na hayo majibu ya ninamtu hutopata. Kabla deal halijabumbuluka, nikutakie kila la kheri.

Usione kila mwenye mke mzuri ukahisi alikuwa na pesa enzi hizo, hamnaaa, wengine ujanja ujanja tuuu.
 
Unaboom??
Kjm.usiwe na tabia ya kuuliza una mtu??

Mabint waleo hawatongozwi nilugha za ishara unajua huyu tayar

Upo chuo gan??
Usijetoka tatu bila,kuna watu wanamaliza hawajawai pasua dem
 

Aisee akishindwa na hiyo basi akawe Bruda tuuila hii mbinu nahisi wengi wataitumia humu ambao anasoma nao hapo chuo watamuwahi
 
Km kila mtu ana mtu inakuwaje wewe siyo mtu wa mtu? Sema unatafuta mchep mkuu na km siyo hvyo basi hujui kutongoza.
Aha,,,
Waweza kumkatia semina japo kidogo ya utongozaji..
 
Aisee akishindwa na hiyo basi akawe Bruda tuuila hii mbinu nahisi wengi wataitumia humu ambao anasoma nao hapo chuo watamuwahi
Hahahaaaa vijana tusipowasaidia hawachelewi kutuletea vihio nyumbani
 
Vaa vizuri ,paka mafuta, jipulizie unukie ,ongea kama mwanaume unaejitambua acha kuwatizama sana wadada, utapata mrembo mzuri utafurahi na roho yako.sawa mwanachuo?
Kuvaa vizur na kujipulizia tena...mmmh

Dogo awe kujichanganya,mcheshi nk
Uwongo mwingi maana madem hawaelewi ukweli kabisaa

Akipiga show nzur owa mmoja akisimulia rafiki yake wanapenda kuzungukana sana...


Hayo mambo ya kuvaa vizur,kujipulizia kisa kupata dem.n ufala

Dogo kaza mwaka wa kwanza ndio tym ya kupata experience
 
Katika 100 mmoja anaweza akakwambia yuko single lakini hawa 100 wote ukiwatongoza wanakubali na kauli zinabadilika
 
hebu piga kitabu kwanza ila mbona ukiwa kichwa utawatafuna sanaa hata kuwaandalia research uwale umeshindwa ? ngoja ujarib second year
 

Jali masomo ili utoke na GPA 4.7 utakuwa na list kubwa ya kuchagua else ukiendeleza hayo utatoka na GPA ya 2.2 au disco na utapata shida maishani kwa kutokutumia hela ya mzazi au boom lako vizuri!! so concentrate in your studies else you will come to regret!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…