Kila ninayemtongoza ana mtu

sawa mkuu..ila inategemea na msichana mwenyewe
 
ngoja nijitahidi darasani
 
toa mbinu mkuu
 
Mkuu badili gia ya kuwaingilia hawa viumbe wanahitahiji ubunifu kidogo ili umung'oe.
 
Utaniambia mmojawapo ni Klyn..... Mengi bila mbunye Klyn angemsikia kwa wenzake. Mbunye unarahisisha unapata mpaka hao wanaodai wana wachumba. Pesa sabuni ya roho huu usemi sio bure.
kuna wasichana wengine pesa wanazo
 
Hujataka bado,endelea kuoga upendeze jasho la shamba likutoke na M/Mungu akikujaalia visent sent basi inshaAllah utawapata woote
 
Siku hizi ukishapata number onesha upo vizuri, weka appointment sehemu ya kuelewekaa, ukipigwa kizinga usifikirie Mara 2, ukiropoka tu nakupenda ujue ushamkosa huyooo
kwahiyo unatengeneza mazingira hata kama hataki?
 
Mwenzio maisha yote ya chuo sikuwahi tongoza demu,siku hz wanajitongozesha hata hawajali kuwa nina mke.

Achana nao kwa sasa utakutana nao kwenye rebound if you know what i mean!
nimekuelewa mkuu
 
mademu wa chuo wakati mwingine wanazingua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…