mibiki mitali
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 238
- 392
Mkuu upo usingizini ama,Achana ni tozo za miamala, tutazoea tu ndugu zangu.
Ila kwa hili, nimeshindwa kabisa kuzoea. Labda kama ni tatizo mnisaidie, au kama siko peke yangu basi nifarijike.
Imekuwa ni muda mrefu sasa tangu nianze ku-note hali hii, hisia zangu hujawa na wivu kila nikiona binti mjamzito. Na maswali ya kipuuzi like kwanini hii mimba sijaweka mimi?
Kusema ukweli napenda sana watoto, kwa kuzaa na hata kwa kupiga nao stori tu. Kwa sasa ninao kadhaa ila nikijaaliwa hadi 12 itapendeza sana.
Je, hili ni tatizo?
Ncha Kali.