Kila nikiona binti mjamzito, roho inaniuma kwa wivu

Achana ni tozo za miamala, tutazoea tu ndugu zangu.

Ila kwa hili, nimeshindwa kabisa kuzoea. Labda kama ni tatizo mnisaidie, au kama siko peke yangu basi nifarijike.

Imekuwa ni muda mrefu sasa tangu nianze ku-note hali hii, hisia zangu hujawa na wivu kila nikiona binti mjamzito. Na maswali ya kipuuzi like kwanini hii mimba sijaweka mimi?

Kusema ukweli napenda sana watoto, kwa kuzaa na hata kwa kupiga nao stori tu. Kwa sasa ninao kadhaa ila nikijaaliwa hadi 12 itapendeza sana.

Je, hili ni tatizo?

Ncha Kali.
Kwa sasa ninao kadhaa ila nikijaaliwa hadi 12 itapendeza sana.kuzaa sio kazi ... Kazi ni kuwapa maisha bora wanayostahili hao unaowazaa... Kumbuka kuitwa baba ni rahisi kuliko kuwa baba anayekitendea haki hicho cheo...!!!
 
Una pepo nenda kwa Mwamposa akakuombee

Acheni kutisha watu, watoto hawana gharama yoyote…. labda iwe kwa maradhi na vitu visivyo kawaida.

Maisha bora ni matokeo ya neema na bidii za kila mmoja.
 
Achana ni tozo za miamala, tutazoea tu ndugu zangu.

Ila kwa hili, nimeshindwa kabisa kuzoea. Labda kama ni tatizo mnisaidie, au kama siko peke yangu basi nifarijike.

Imekuwa ni muda mrefu sasa tangu nianze ku-note hali hii, hisia zangu hujawa na wivu kila nikiona binti mjamzito. Na maswali ya kipuuzi like kwanini hii mimba sijaweka mimi?

Kusema ukweli napenda sana watoto, kwa kuzaa na hata kwa kupiga nao stori tu. Kwa sasa ninao kadhaa ila nikijaaliwa hadi 12 itapendeza sana.

Je, hili ni tatizo?

Ncha Kali.
Mama anasomesha bado au umejipanga?

Watoto unalea au unakuza?
 
Back
Top Bottom