Kila nikimtumia message lazima anipigie

Mmekutana juzi juzi tu ,wewe ndio umeomba namba yake ya simu , amekupa nafasi umueleze yaliyo moyoni mwako (yaliyokusababisha kuomba namba) umeshindwa kuitumia leo umeileta hapa.
 
Kwema wakuu kuna dada mmoja hivi tumejuana juzi juzi nikamuomba namba akanipga.

Ila kila nikimtumia tuu message lazima anipigiee tuongee wee sasa hapa najiulizaa inakuaje yaaani.
Sasa wewe ulimuomba namba ili iweje, uitunze tu? Yaani kuna watu wasenge dunia hii sijapata kuona.
 
Yawezekana pia mtuma ujumbe
(mleta mada) hajui kuandika

"Usishangae kukutana na mwanafunzi wa elimu ya juu anaeandika na ukashindwa kusoma muandiko wake. Vijana wanafanya kazi za shule kwa kutumia computer, wanatumiana ujumbe kwa simu. Hii imefanya sanaa ya uandishi wa mkono kupotea." (C & P)

Teknolojia imebadili mfumo wa maisha, vijana wa sasa wanashindwa kuandika kwa mkono
Kama mtoa mada hajui kuandika hii sredi kaandikaje, sitaki kuamini kila ujumbe anautuma kwa huyo binti ausomeki au haueleweki mpaka awe anapiga simu kwa kila ujumbe.

Yaani hapo ambalo mimi nahisi ni kua BINTI HAJUI KUSOMA, nmekutana na watu kadhaa amabao hawajui kusoma na wanamiliki simu mara nyingi wanapiga tu mradi anajua kitufe cha kupigia. Afu kwenye hesabu za hela wako vizuri huwezi kuwaibia
 
Inawezekana kabisa kuandikiwa (kusaidiwa na mtu mwingine) sms hata hiyo "sredi"
 
Kwema wakuu kuna dada mmoja hivi tumejuana juzi juzi nikamuomba namba akanipga.

Ila kila nikimtumia tuu message lazima anipigiee tuongee wee sasa hapa najiulizaa inakuaje yaaani.
Anakusikilizia kama unarafunzi ya kikwenu au ya kikiswahili au kiswahili -English. Baada ya hapo atajua aanzie wapi kukula minzinga kila weekend. Nakuhakikishia utarudisha hiyo gharama anayotumia kukupigia.
 
Kwema wakuu kuna dada mmoja hivi tumejuana juzi juzi nikamuomba namba akanipga.

Ila kila nikimtumia tuu message lazima anipigiee tuongee wee sasa hapa najiulizaa inakuaje yaaani.
Uzi tayari!!

JF ya sasa kazi kwelikweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom