Kila nikimtumia message lazima anipigie

Kama inahitaji maelezo marefu ni bora mpigiane simu ,ndio maana ikitwa SMS meaning Short Message Service - Ujumbe Mfupi sasa ukitaka kuandika Gazeti ni bora umvutie WAYA.
 
Kwema wakuu kuna dada mmoja hivi tumejuana juzi juzi nikamuomba namba akanipga

Ila kila nikimtumia tuu message lazima anipigiee tuongee wee sasa hapa najiulizaa inakuaje yaaani
Hajui kuandika huyo nilishawahi kukutana na mtu wa hivyo.
 
Kwema wakuu kuna dada mmoja hivi tumejuana juzi juzi nikamuomba namba akanipga.

Ila kila nikimtumia tuu message lazima anipigiee tuongee wee sasa hapa najiulizaa inakuaje yaaani.
Shida iko wapi sijaelewa
 
Niliwahi kuwa na Gf wa kiiraq from loliondo

nae alikuwa hapendi sms.

nikituma sms anakausha, baadae akipata muda tunaongea hata dakika 30.

usiku sasa ndio usiseme, nashukuru Mungu hakuwahi kunilia hela🤣🤣

na alisafiri kutoka Loliondo to Mwanza at her own cost kuja kuniona.

asante sana binti ng'aida kwa upendo wako wa dhati kipindi hicho

ubarikiwe sana X kokote uliko
 
Huyo alikupenda kweli
 
Kwema wakuu kuna dada mmoja hivi tumejuana juzi juzi nikamuomba namba akanipga.

Ila kila nikimtumia tuu message lazima anipigiee tuongee wee sasa hapa najiulizaa inakuaje yaaani.
😂😂😂😂
Pole. Domo zege hata kwenye simu!?
 
Kwema wakuu kuna dada mmoja hivi tumejuana juzi juzi nikamuomba namba akanipga.

Ila kila nikimtumia tuu message lazima anipigiee tuongee wee sasa hapa najiulizaa inakuaje yaaani.
Kwema wakuu kuna dada mmoja hivi tumejuana juzi juzi nikamuomba namba akanipga.

Ila kila nikimtumia tuu message lazima anipigiee tuongee wee sasa hapa najiulizaa inakuaje yaaani.
Ao niwale awajuag kuhandika msj, wandikaga kama ii yangu apa niliohandika. Sasa wanahogopa wakijib utawajuha ndomana anakupigiya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom