Kila nikifanya nae mapenzi hanitoshelezi

tatizo la nyie vijana amujui romatic mnala ukisimama tu unataka ungize aujui mwezio kalowa au la kuwa na subira had kulowe ili uteleze vizuri
 
Nina msichana wangu nampenda sana tatizo akija gettho msumbufu sana inapofika wakati wa tendo.

Napo mwitaji natumia nguvu sana kumshawishi anajifanya sitaki na taka anajiweka kama gogo atakunipapasa ataki ata akinipa analala kama kafa wakuu nifanyeje?
Yaniii hii inanikutaa na mimi mzee...!! Achaa tuu...
 
Nina msichana wangu nampenda sana tatizo akija gettho msumbufu sana inapofika wakati wa tendo.

Napo mwitaji natumia nguvu sana kumshawishi anajifanya sitaki na taka anajiweka kama gogo atakunipapasa ataki ata akinipa analala kama kafa wakuu nifanyeje?
Tupa kule,ana JINI huyo.
siku litakutandika.
.
 
Hahahahaha bounce back lol..
Hahaha.. Kapata mtu ambae yeye ndiyo anatakiwa amkunje vile anavyotaka anaanza kulialia...

Ngoja wamkunje wengine, aje tena kulialia mwanamke wake kawa mtaalam balaa...
 
Wacha kulalama. Muulize huenda ikawa hajui kwamba kwenye mapenzi kuna kupapasana ye anajua ni kujitegesha tu.

Ila saa nyingine huenda ikawa hamna ushirikiano na pia hapati zile raha za kumfanya ajishughulishe hivyo anajionea bora ajiweke tu kisha ushughulike basi biashara iishe. Mbadilishage na hiyo milalo huenda akachangamka.
 
Nina msichana wangu nampenda sana tatizo akija gettho msumbufu sana inapofika wakati wa tendo.

Napo mwitaji natumia nguvu sana kumshawishi anajifanya sitaki na taka anajiweka kama gogo atakunipapasa ataki ata akinipa analala kama kafa wakuu nifanyeje?
Inaonekana unauzoefu wa wanawake tofautitofauti lukuki ndiomaana unamuona anamapungufu. Tafuta vicheche straika vyenye uzoefu unaoutaka kukidhi mahitaji yako.
 
Hahaha.. Kapata mtu ambae yeye ndiyo anatakiwa amkunje vile anavyotaka anaanza kulialia...

Nonja wamkunje wengine, aje tena kulialia mwanamke wake kawa mtaalam balaa...
Haaaaa Smart911 Bora ujifunzie kwangu asee kwa wengine hapana...
 
Muoe kabisa awe wako jumla .
Nina msichana wangu nampenda sana tatizo akija gettho msumbufu sana inapofika wakati wa tendo.

Napo mwitaji natumia nguvu sana kumshawishi anajifanya sitaki na taka anajiweka kama gogo atakunipapasa ataki ata akinipa analala kama kafa wakuu nifanyeje?
 
Itakua vyema ukakanae na kumweleza namna unavyokeleka na tabia zake hizo huemda ukapata mwanga nini tatizo.. Pia sio kila mtu ni fundi kwenye hiyo idara nendanae taratibu na ufundishe jinsi unavyopenda akufanyie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom