Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
Ila mi katika maisha sijawahi kuona mwanamme ambaye haridhiki kwenye kujamiiana.... wenye kasheshe la kutoridhishwa ni wanawake.Hahaaaa. Hapa ndio napata picha fulani hivi. Pole tena.
Bora umenisaidia kumshauri kwa niaba yangu Babu na pia naongezea awache kutaja makabila siku nyingine.
Hahaaa. Huenda ikawa pia ana hicho kilemutuz ila nasubiria jibu.
Cc. Mleta Uzi.
Sasa sijajua huyu mzinzi kama anachomoa storongo kabla hajamwaga protini au inakuwaje mpaka anasema haridhishwi...
Utanisaidia kumuuliza, ee *****.


