Kila nikifanya nae mapenzi hanitoshelezi

Kila nikifanya nae mapenzi hanitoshelezi

never Se me

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2018
Posts
702
Reaction score
1,013
Nina msichana wangu nampenda sana tatizo akija gettho msumbufu sana inapofika wakati wa tendo.

Napo mwitaji natumia nguvu sana kumshawishi anajifanya sitaki na taka anajiweka kama gogo atakunipapasa ataki ata akinipa analala kama kafa wakuu nifanyeje?
 
Wacha kulalama. Muulize huenda ikawa hajui kwamba kwenye mapenzi kuna kupapasana ye anajua ni kujitegesha tu.

Ila saa nyingine huenda ikawa hamna ushirikiano na pia hapati zile raha za kumfanya ajishughulishe hivyo anajionea bora ajiweke tu kisha ushughulike basi biashara iishe. Mbadilishage na hiyo milalo huenda akachangamka.
 
Mwambie kwamba hupendi anavyo fanya. ila pia sikiliza upande wake kwann hayuko hivyo. Lakin kama haelekei tafuta anaye kupa utam
 
Wacha kulalama. Muulize huenda ikawa hajui kwamba kwenye mapenzi kuna kupapasana ye anajua ni kujitegesha tu.

Ila saa nyingine huenda ikawa hamna ushirikiano na pia hapati zile raha za kumfanya ajishughulishe hivyo anajionea bora ajiweke tu kisha ushughulike basi biashara iishe. Mbadilishage na hiyo milalo huenda akachangamka.
Umeanza lini kuhamasisha uzinzi?
 
nina demu nampenda sana. Tatizo akija gettho msumbufu sana inapofika wakati wa tendo.. Napo mwitaji natumia nguvu sana kumshawishi anajifanya sitaki na taka.. Anajiweka kama gogo atakunipapasa ataki. Ata akinipa analala kama kafa.. Demu mchaga..wakuu nifanyeje
inategemea mkuu,
1. unampenda sawa, Je nayeye anakupenda?
2. unaonaje mambo mengine ukiacha sex?
3. Je anaku tambulisha kwa nduguze, rafiki zake,
Just angalia mambo mengine kama anayafanya na yanaonesha anakupenda, basi mwambie ukwel kua hupendi anacho fanya,
kama anakupenda ata kuelewa,
na sometimes unaeza mforce, ata kwa kumshika mkono na kuupeleka unapo taka aku papase (mfano: dushe__)
mana huenda akawa na Aibu tuu,
4. au amekuchukia kuna kitu ume muudhi (una dem mwingine) na Anaona hutaki kukiongelea..
 
Wachaga hawajui mapenzi ng'oooooo ,piga UA ,hamna mchaga aliye romantic !!.

Hawajui mahaba kabisaaa ,akilala nigogo ,kama kafa ,hawajui hata kupapasa , wachaga kwa mapenzi nawapa 0%.

Nmedate now watatu ,wote wanafanana kitandan utadhan wamezaliwa tumbo moja!!.
Ahsante kwa taarifa. Hebu tutajie kabila lako tuje tuwamege dada zako tupate raha...
 
Siku Akija tena weka burungutu la hela mezani au kitandanii hata km sio kwa nia ya kumpa yy, utaona mziki wake.
 
Picha iko wapi akiwa amelala kama gogo?
 
Umeanza lini kuhamasisha uzinzi?
Uuwiii. Yaani kabla sijasoma ulichoandika nilijikuta natetemeka.

Sio kwamba nahamasisha Babu ni kwa sababu kaomba ushauri na sikuzote ni ngumu kuanza kumpinga mtu kwa kitu ambacho kwake anakiona kiko sawa.

Nisamehe bure.
 
Nilitegemea umwambie aache uzinzi. Akatoe posa kwa wazazi then wafunge ndoa aone mtoto wa kike atakavyokata mauno...

BTW umejaribu kumuuliza ujue kama ana undugu na LeMutuz?
 
Nilitegemea umwambie aache uzinzi. Akatoe posa kwa wazazi then wafunge ndoa aone mtoto wa kike atakavyokata mauno...

BTW umejaribu kumuuliza ujue kama ana undugu na LeMutuz?

Hahaaaa. Hapa ndio napata picha fulani hivi. Pole tena.

Bora umenisaidia kumshauri kwa niaba yangu Babu na pia naongezea awache kutaja makabila siku nyingine.

Hahaaa. Huenda ikawa pia ana hicho kilemutuz ila nasubiria jibu.

Cc. Mleta Uzi.
 
Si umuache
watu mnapenda kujitesa!!!

Mwenzio huko kwa Bwana ake anatoa mzigo bila kuombwa...

Em someni Alama za Nyakati, kwanini mnakua wazembe hivo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom