Kacheki sukari. Inawezekana mwili wako unafanya kazi ukiwa na glucose chachekuhusu kitendea kazi, kiko salama, Sina tatizo la nguvu za kiume ila nikimaliza tu, yani wiki nzima nasikia uchovu, nasikia kulala lala tu, naweza lala mchana hata masaa matano kisha na usiku pia, nifanyeje niwe sawa?
Duuu this is very alarming,1. Unasex siku ngapi kwa wiki?
2. Unatumia MDA Kias gan kusex kila tendo ndani ya hiyo wiki?
3. Unasumbuliwa na magonjwa ya presha na kisukali au pumu?
Achana na sex kasomee upadri kaka.
Ni Hatari sana kwa welfare ya kazi na kujishughulisha kiujumla!!Let's say unajihusisha na kazi inayohitaji movement, unafanyaje kama sio kuomba ruhusa ikiwa mwili hauna nguvu?
Thanks, ntajaribu nionePata lishe nzito
Asubuhi
Mchana
- pata maziwa fresh nusu lita
- Pata supu ya sato mzima
- Kula matunda mchanganyiko
Usiku
- Pata kitimoto rosti kilo moja
- Ndizi nne
- Wine kidogo
- Kunywa maji ya kutosha
- Juisi ya matunda fresh
- Mboga mboga
Ukila hivyo mwezi mzima, tatizo litakuwa limetibika kabisa
- Mchemsho wa kuku mzima
- Mboga za majani
- matunda mchanganyiko
- Juisi ya baridi