Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,466
Hii hali ime kua kroniki,siwezi kupata usingizi bila kuweka mkono kwenye viungo vya uzazi nisipo fanya hivyo basi usingizi hauji kabisaaa.na niki amka ni hivyo hivyo mkono lazma uende ikulu kucheki "usalama wa mheshimiwa".
sasa sijui hii tabia ni kwa wanaume wote au ni mimi tu?
sasa sijui hii tabia ni kwa wanaume wote au ni mimi tu?