Kila mwananchi afunguliwe accounti benki - Lipumba

i pad3

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
1,518
378
tukiweka siasa na udini pembeni hili ni wazo zuri sana ambalo linatekelezeka.viongozi kazi kwenu

Leo asubuhi BBC katika dira ya dunia imetangaza kuwa serikali ya Kenya itaanza kutoa KSh. 2,000/= sawa na USD 25 kwa raia wake wote maskini wanaoishi chini ya KSH. 50/= kwa siku. Zoezi hili lilikwisha fanyiwa majaribio katika miji mikuu ya Nairobi na Kisumu. Sasa zoezi hili litaendelezwa katika miji mingine kama Mombasa. Fedha zitatumwa kwa kila mkenya aliyeorodheshwa kama maskini kwa kutumia M- Pesa.

Hivi karibuni Pro. Lipumba aliporejea kutoka Marekani alisema ni vema serikali ikamfungulia kila mwananchi akaunti benki ili iweze kumgawia kila mmoja wetu sehemu ya pato la Taifa inayotokana na mali asili zetu. Na akasema hii itawapa watu motisha ya kulinda mali asili na kuhakikisha hakuna hujuma yo yote.

Je kama serikali ya Kenya imeanza na kuonyesha mfano Tanzania ni nini kutakachotuzuia kufanya kama Kenya? Tafakari!
 
Pr.lipumba alisema anategemea kupingwa na mafisadi wa mali asili za watanzania.
 
Huyu mtu anamawazo mazuri ila viongozi wetu ni sikio la kufa kila mmoja anataka kujinufaisha mwenyewe na watu wake wa karibu hivyo sidhani kama watakubaliana na wazo lake.
 
Sio serikali kuwagawia wananchi fedha tuu Bali kama kila mwananchi wa Tanzania hususani walalahoi na wakulima masikini wataweza kufungua akaunti itasaidia sana serikali kuhimiza watu hawa juu ya umuhimu wa kuserve kiasi kidogo cha pesa wapatacho kwa manufaa yao ya baadae. imagine mtu anapata sh.3,000 kwa siku kwa hesabu ya mwezi ni sh. 90,000 hapa kama atatumia 60,000 akaserve 30,000 mwisho wa mwaka 360,000 haitaweza mpiga chenga na mwaka atauanza salama tofauti na hali ilivyo sasa.
 
Kukiwa na nia thabiti inawezekana!
Serikali itumie mawazo ya nguli huyu wa uchumi
 
Wewe unaonekana jazba imekuzidi badala ya kutathmini hali ya umaskini wa wa tanzania na jinsi ya kipato chao. Au wewe ni miongoni mwa wale wenye mikono mirefu ambao wanajichotea tu.
 
wakati lipumba anasema na watu wanambeza waKenya wameamua kumsikiliza na wanatekeleza

Bank accounts to be compulsory for all Kenyans over 18 years

thaes.jpg

By GRIFFINS OMWENGA gomwenga@ke.nationmedia.com
Posted Tuesday, April 3 2012 at 19:45
IN SUMMARY

Minister says economy has matured and everyone will also be required to open an income tax file with KRA to help seal loopholes in tax collection, besides the accounts
It will soon be compulsory for all Kenyans above 18 years to operate a bank account, once plans by the Government to introduce laws in the coming budget take effect.

Finance minister Njeru Githae said the Kenyan economy has matured, which calls for every Kenyan to have a bank account in line with efforts to increase financial inclusion in the country, as per Vision 2030.

Changing law

"We are changing the law to make it compulsory for every Kenyan to have a bank account as part of our rapid transformation initiative into a middle income economy," said Mr Githae.

Also coming up will be a law compelling every Kenyan above 18 years to open an income tax file with the Kenya Revenue Authority, to help seal loopholes in tax collection. The two will be mandatory irrespective of whether one is earning an income or not.

He added that all financial intermediaries will be compelled to issue secure but affordable debit cards, as part of future reforms in the financial sector.

Officiated

The minister was speaking when he officiated the opening of Eco Bank's Karen branch in Nairobi on Tuesday.

Mr Githae said the 2012/2013 finance bill will anchor some of these proposals, adding that the changes will help strengthen the synergy between the central bank, commercial banks and individual customers.

He added that the banking industry has grown from 2008, with industry statistics indicating that total assets, deposits and loans standing at Sh2.1 trillion, Sh1.6 trillion and Sh1.2 trillion as at the end of last year.

To this end, he urged all banks to consider reducing their spread, saying that with such increased customer deposits, all banks should consider giving double digit returns to their clients and reduce their lending rates.

"With the fall of non-performing loans to less than 3 per cent, operating costs for banks have tremendously reduced and as such, we expect banks to reduce their spread and pass part of the cost reduction benefits to their clients," said the minister.
Bank accounts to be compulsory for all Kenyans over 18 years  - Business News |nation.co.ke
 
Tanzania kazi yao kuiga tu!! Hawana independent idieas. Hawataki ushauri wa local expert bali wa wazungu!! Ndiyo maana Rais safari zake nyingi ni Ulaya na Marekani. Hajui kuwa angejifunza mengi kama angeenda S. Korea, Malasiya, Indonesia, Brazil n.k. Pamoja na hizo nilizozitaja, sijawahi sikia JK amekwenda China, India au Russia (the BRICS) unless I have missed somewhwere!!
 
wakati lipumba anasema na watu wanambeza waKenya wameamua kumsikiliza na wanatekeleza

Bank accounts to be compulsory for all Kenyans over 18 years

thaes.jpg

By GRIFFINS OMWENGA gomwenga@ke.nationmedia.com
Posted Tuesday, April 3 2012 at 19:45
IN SUMMARY

Minister says economy has matured and everyone will also be required to open an income tax file with KRA to help seal loopholes in tax collection, besides the accounts
It will soon be compulsory for all Kenyans above 18 years to operate a bank account, once plans by the Government to introduce laws in the coming budget take effect.

Finance minister Njeru Githae said the Kenyan economy has matured, which calls for every Kenyan to have a bank account in line with efforts to increase financial inclusion in the country, as per Vision 2030.

Changing law

"We are changing the law to make it compulsory for every Kenyan to have a bank account as part of our rapid transformation initiative into a middle income economy," said Mr Githae.

Bank accounts to be compulsory for all Kenyans over 18 years *- Business News*|nation.co.ke
Hapa waziri hakusema kuwafungulia wananchi akaunti na "kuwajaza mapesa" bali mwananchi mwenyewe KULAZIMIKA kujfungua akaunti hiyo.
 
Viongozi wetu wanatakiwa wafuate ushauri wa Prof Lipumba.
 
Is this Economist serious? what is it going 2 help them? if they are not made for Market Economy?

Or then you will force the banks 2 give them Credit Cards? force Tanganyikans & Zanzibaris into Plastic Business (CreditCard)

Then Those damn banks will start to exploit the poor Masses for failing to pay the Credit Cards; giving away their lands, homes, everything they have from the Village to the City

Now You will have a really homeless and now you keep them in concentration jails or cheap labor...

We have to be careful with this Gentleman called Lipumba
 
naona watu wameishiwa hoja je wawezaje kumfungulia mtu akaunti wakati
Dawa hospitalini hakuna
Vitabu mashuleni hakuna
Mama zetu wanakufa kwa kukosa huduma bure wanazosema
Barabara za kusafirishia wagonjwa/mazao hakuna
Shule hazina walimu
Mishahara kiduchu
Wizi / Ufisadi umebobea
PCCB nayo haina meno
Wafanyabiashara wanaikoromea serikali hawauzi mafuta
Vyuoni wahadhiri wako katika shughuli zao ili kujikim kimaisha
Nchi haina mwenyewe ndege zatua na kusomba madini migodini
Ndege zachukuwa wanyama sisi hatuzioni angani
Meli zinavua hatuzioni maana minara imejengwa kuonesha umahiri wa ujenzi wetu na si ya kazi hiyo
Askari wanakaa mabatini na wakati wa jua wanatoka nje na familia zao
Madaktari hawana nyumba waliouza za serikali hawatakiwi kulipa
"MATATIZO NI MENGI TUACHE MCHEZO NA MAISHA YA WANYONGE NA TUSIWAFURAHISHE KWA PIPI MOJA KUMBE KICHUKULIWACHO NI MAGUNIA YA PIPI"
 
wazo la Lipumba ni zuri sana,lakini tuna mengi ya msingi zaidi hatujayafanya,tutafanya hilo kweli kwa sasa!?
 
Hivi hicho cha kugawana kipo wapi wakati hata maji safi na huduma bora ya afya tunashindwa?
 
naona watu wameishiwa hoja je wawezaje kumfungulia mtu akaunti wakati
Dawa hospitalini hakuna
Vitabu mashuleni hakuna
Mama zetu wanakufa kwa kukosa huduma bure wanazosema
Barabara za kusafirishia wagonjwa/mazao hakuna
Shule hazina walimu
Mishahara kiduchu
Wizi / Ufisadi umebobea
PCCB nayo haina meno
Wafanyabiashara wanaikoromea serikali hawauzi mafuta
Vyuoni wahadhiri wako katika shughuli zao ili kujikim kimaisha
Nchi haina mwenyewe ndege zatua na kusomba madini migodini
Ndege zachukuwa wanyama sisi hatuzioni angani
Meli zinavua hatuzioni maana minara imejengwa kuonesha umahiri wa ujenzi wetu na si ya kazi hiyo
Askari wanakaa mabatini na wakati wa jua wanatoka nje na familia zao
Madaktari hawana nyumba waliouza za serikali hawatakiwi kulipa
"MATATIZO NI MENGI TUACHE MCHEZO NA MAISHA YA WANYONGE NA TUSIWAFURAHISHE KWA PIPI MOJA KUMBE KICHUKULIWACHO NI MAGUNIA YA PIPI"

Mkuu ukitaka kila kitu kiwe 100% right .. utasubiri milele; wazo la lipumba linawezekana na linawezekana NOW
 
Back
Top Bottom