Kila mwananchi afunguliwe accounti benki - Lipumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila mwananchi afunguliwe accounti benki - Lipumba

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by i pad3, Apr 4, 2012.

 1. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,521
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  tukiweka siasa na udini pembeni hili ni wazo zuri sana ambalo linatekelezeka.viongozi kazi kwenu

   
 2. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,521
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hii italeta sana imani kwa wananchi.
   
 3. N

  Nabihu JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 272
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Pr.lipumba alisema anategemea kupingwa na mafisadi wa mali asili za watanzania.
   
 4. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Huyu mtu anamawazo mazuri ila viongozi wetu ni sikio la kufa kila mmoja anataka kujinufaisha mwenyewe na watu wake wa karibu hivyo sidhani kama watakubaliana na wazo lake.
   
 5. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,616
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sio serikali kuwagawia wananchi fedha tuu Bali kama kila mwananchi wa Tanzania hususani walalahoi na wakulima masikini wataweza kufungua akaunti itasaidia sana serikali kuhimiza watu hawa juu ya umuhimu wa kuserve kiasi kidogo cha pesa wapatacho kwa manufaa yao ya baadae. imagine mtu anapata sh.3,000 kwa siku kwa hesabu ya mwezi ni sh. 90,000 hapa kama atatumia 60,000 akaserve 30,000 mwisho wa mwaka 360,000 haitaweza mpiga chenga na mwaka atauanza salama tofauti na hali ilivyo sasa.
   
 6. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 673
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wazo zuri
   
 7. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,764
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Kukiwa na nia thabiti inawezekana!
  Serikali itumie mawazo ya nguli huyu wa uchumi
   
 8. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #8
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ni ushauri wa kipuuzi sana nisio utegemea kutoka kwa mchumi kama lipumba yaani serekali kuja kukaa kugawa hela wakati bajeti yake inasaidiwa, inashindwa kulipa mishahara mizuri kwa watumishi wake , huduma za afya zilizozorota, miundo mbinu duni kwanini hizo hela zisielekezwe kwenye kusaidia bajeti ya taifa na tukaacha kuwa tegemezi ili tuweze kuwa na sauti juu ya rasilimali za nchi yetu?
  Tunashindwa kuwa na sauti juu ya mataifa yanajiita yenye nguvu duniabi kwaajili ya kuwa tegemeze.
  Njia nyingine ni kupunguza kodi kwenye baadhi ya bidhaa muhimu ili kupunguza mzigo kwa wananchi na fedha hizo badala ya kugawiwa wananchi zikaenda kufidia huko. hii ni kutaka kuwafanya watu wajinga washindwe kufikiri kukaa kusubiri mgawo wa serekali.
  walau serekali ijitahidi kutoa huduma ya afya kwa watu flani kama wazee, walemavu au wanawake na watoto.
  hospitali hazina vitanda serekali ije kugawia wananchi fedha.
  hakuna magari ya zima moto, magari ya wagonjwa.

  kweli hapo Prof kaongea lipumbu litupu. Amejua kuwa watu kwasasa hali zao za kiuchumi ni mbaya hivyo nikizungumza kuhusu kuwajaza mapesa nitapata cheap popularity.
  yaani askari wahana makazi walimu hawana makazi
  wanafunzi hawana madawati wala vitabu
  shule za kata hazina walimu wala maabara
  wanachuo kila kukicha migomo wagombania MIKOPO (kwanini hizo hela zisiingizwe kwenye mifuko kama hiyo)
  NIMESHINDWA KUMUELEWA WALA HAIINGI AKILINI KWANGU
  TAFADHALI NIELEWESHENI
   
 9. n

  nawaf New Member

  #9
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe unaonekana jazba imekuzidi badala ya kutathmini hali ya umaskini wa wa tanzania na jinsi ya kipato chao. Au wewe ni miongoni mwa wale wenye mikono mirefu ambao wanajichotea tu.
   
 10. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #10
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa niaba ya chama changu napenda niwashukuru kwa mawazo mazuri na tunaahidi kuyafanyia kazi!
   
 11. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #11
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 9,748
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  sisi kwetu hatuwezi hili mpk kwanza tuwe na ID cards
   
 12. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #12
  Apr 4, 2012
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,572
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  wakati lipumba anasema na watu wanambeza waKenya wameamua kumsikiliza na wanatekeleza


  Bank accounts to be compulsory for all Kenyans over 18 years

  [​IMG]


  By GRIFFINS OMWENGA gomwenga@ke.nationmedia.com
  Posted Tuesday, April 3 2012 at 19:45
  IN SUMMARY


  Minister says economy has matured and everyone will also be required to open an income tax file with KRA to help seal loopholes in tax collection, besides the accounts
  It will soon be compulsory for all Kenyans above 18 years to operate a bank account, once plans by the Government to introduce laws in the coming budget take effect.


  Finance minister Njeru Githae said the Kenyan economy has matured, which calls for every Kenyan to have a bank account in line with efforts to increase financial inclusion in the country, as per Vision 2030.


  Changing law


  "We are changing the law to make it compulsory for every Kenyan to have a bank account as part of our rapid transformation initiative into a middle income economy," said Mr Githae.


  Also coming up will be a law compelling every Kenyan above 18 years to open an income tax file with the Kenya Revenue Authority, to help seal loopholes in tax collection. The two will be mandatory irrespective of whether one is earning an income or not.


  He added that all financial intermediaries will be compelled to issue secure but affordable debit cards, as part of future reforms in the financial sector.


  Officiated


  The minister was speaking when he officiated the opening of Eco Bank's Karen branch in Nairobi on Tuesday.


  Mr Githae said the 2012/2013 finance bill will anchor some of these proposals, adding that the changes will help strengthen the synergy between the central bank, commercial banks and individual customers.


  He added that the banking industry has grown from 2008, with industry statistics indicating that total assets, deposits and loans standing at Sh2.1 trillion, Sh1.6 trillion and Sh1.2 trillion as at the end of last year.


  To this end, he urged all banks to consider reducing their spread, saying that with such increased customer deposits, all banks should consider giving double digit returns to their clients and reduce their lending rates.


  "With the fall of non-performing loans to less than 3 per cent, operating costs for banks have tremendously reduced and as such, we expect banks to reduce their spread and pass part of the cost reduction benefits to their clients," said the minister.
  Bank accounts to be compulsory for all Kenyans over 18 years  - Business News |nation.co.ke
   
 13. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #13
  Apr 4, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 8,869
  Likes Received: 2,028
  Trophy Points: 280
  Tanzania kazi yao kuiga tu!! Hawana independent idieas. Hawataki ushauri wa local expert bali wa wazungu!! Ndiyo maana Rais safari zake nyingi ni Ulaya na Marekani. Hajui kuwa angejifunza mengi kama angeenda S. Korea, Malasiya, Indonesia, Brazil n.k. Pamoja na hizo nilizozitaja, sijawahi sikia JK amekwenda China, India au Russia (the BRICS) unless I have missed somewhwere!!
   
 14. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #14
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,823
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mkuu hapa ninakualliana na wewe kabisa. Hii inakumbusha sera iliyomfanya Bwana Mapesa kuwa kichekesho majukwaani.

  Mgao sawa wa rasilimali za nchi sio kuwagawia wananchi pesa mkononi bali kuboresha huduma za umma. Hata hizo nchi zilizoendelea na kuwa na mipango bora kwa huduma za umma kama nchi za Scandnavia, hawagawi pesa kama njugu bali kutoa huduma bora: maji, elimu, afya, miundombinu na vitendea kazi kwa wakulima na wafanyakazi. Huu ni utopia ambao hata huyu "mchumi wetu" hauamini zaidi ya kutaka umaarufu, na anaweza kuupata kwa muda mfupi kutoka kwa wale wasiofikiri (au wanaofikiri kwa matumbo yao) kama yeye.
   
 15. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #15
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,823
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hapa waziri hakusema kuwafungulia wananchi akaunti na "kuwajaza mapesa" bali mwananchi mwenyewe KULAZIMIKA kujfungua akaunti hiyo.
   
 16. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #16
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,189
  Likes Received: 4,543
  Trophy Points: 280
  Viongozi wetu wanatakiwa wafuate ushauri wa Prof Lipumba.
   
 17. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #17
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,874
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Is this Economist serious? what is it going 2 help them? if they are not made for Market Economy?

  Or then you will force the banks 2 give them Credit Cards? force Tanganyikans & Zanzibaris into Plastic Business (CreditCard)

  Then Those damn banks will start to exploit the poor Masses for failing to pay the Credit Cards; giving away their lands, homes, everything they have from the Village to the City

  Now You will have a really homeless and now you keep them in concentration jails or cheap labor...

  We have to be careful with this Gentleman called Lipumba
   
 18. h

  haki na usawa JF-Expert Member

  #18
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 476
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  naona watu wameishiwa hoja je wawezaje kumfungulia mtu akaunti wakati
  Dawa hospitalini hakuna
  Vitabu mashuleni hakuna
  Mama zetu wanakufa kwa kukosa huduma bure wanazosema
  Barabara za kusafirishia wagonjwa/mazao hakuna
  Shule hazina walimu
  Mishahara kiduchu
  Wizi / Ufisadi umebobea
  PCCB nayo haina meno
  Wafanyabiashara wanaikoromea serikali hawauzi mafuta
  Vyuoni wahadhiri wako katika shughuli zao ili kujikim kimaisha
  Nchi haina mwenyewe ndege zatua na kusomba madini migodini
  Ndege zachukuwa wanyama sisi hatuzioni angani
  Meli zinavua hatuzioni maana minara imejengwa kuonesha umahiri wa ujenzi wetu na si ya kazi hiyo
  Askari wanakaa mabatini na wakati wa jua wanatoka nje na familia zao
  Madaktari hawana nyumba waliouza za serikali hawatakiwi kulipa
  "MATATIZO NI MENGI TUACHE MCHEZO NA MAISHA YA WANYONGE NA TUSIWAFURAHISHE KWA PIPI MOJA KUMBE KICHUKULIWACHO NI MAGUNIA YA PIPI"
   
 19. Kuku wa Kabanga

  Kuku wa Kabanga JF-Expert Member

  #19
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 60
  wazo la Lipumba ni zuri sana,lakini tuna mengi ya msingi zaidi hatujayafanya,tutafanya hilo kweli kwa sasa!?
   
 20. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #20
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 938
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hivi hicho cha kugawana kipo wapi wakati hata maji safi na huduma bora ya afya tunashindwa?
   
Loading...