Aaaaaa...!!!!
Kwanza kabla ya yote,wife wako hana au anayo?
Nguo hii inapendwa sana coz:
1. Ni mtepeto (wanaume wakware wanajua ninachomaanisha).
2. Ina m-fit kila mwanamke awe mwembamba,mnene au saiz ya kati.
3. Nadhani labda na bei inachangia, iko chp kiasi.
Ehe...!!
Dah siunajua ni nyepesi na zinawachora maungo yao...!but hizi zimezidi 'kupendwa'
najiuliza siri ni nini?
but hizi zimezidi 'kupendwa'
najiuliza siri ni nini?
Hahahahaaaaa sina nenoHalaf hizi nguo nyengine utazani anatangaza mbuga za wanyama bana
Duh kulee kwa Dudubaya na kitu Mpenziaka 'tentemente' hata kama kalio dogo kama pirton lazima litikisike lol
nyeusi njano ndo mpango mzima.
Kaunga inunue tu na si lazma uivae weka kama kumbukumbuAisee mimi sina!
One time kidogo ninunue lkn l changed my mind.
basi we umepitwa
niakununulia ya white na pink
unasemaje?lol
basi we umepitwa
niakununulia ya white na pink
unasemaje?lol