justuce John
JF-Expert Member
- Feb 20, 2017
- 206
- 222
Kusoma sio kuelewa kila kitu.Umesoma? Namaanisha umeenda shule?
Darasa la sita umesoma somo la Sayansi Form 2 na form 3 umesoma Topic ya Reproduction?
Unataka tukushauri nini? Hebu hata kama wewe ni mjinga jisitiri mbele za watu.
50 miaka? Au 50 namba?Kweli nazidi kuamini maturity comes with experience not age,yani miaka yako yote 50 huelewi,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wako nimzuri lakini Huoni kama natupa watoto, ambao wanastahili kuishi?
Very funny basi wwe fyatua tuuu nguvu unazo fyatuaaaa babaUshauri wako nimzuri lakini Huoni kama natupa watoto, ambao wanastahili kuishi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ulipolala nimeamka Mimi, kabla yakufanya yote hayo chakwanza nikupima sikurupuki, halafu sjajisifu Bali nimeomba ushauri.Upimwe na ukimwi usikae kujisifia ujinga wenzio tukifanya ujinga inabaki siri yetu. Utakuwa msukuma tu wewe au mmasai
Sent using Jamii Forums mobile app
Rekebisha basi uzi ili upate washauri
Nenda hospitali ya Wilaya iliyo karibu nawe waambie wakate mirija yako isitoe chochote