Kila mwanamke ninayemgusa ananikataa

Mtoto wa kitaa

Senior Member
Nov 7, 2012
149
17
Jamani wanajamiiforums nisaidieni ,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 ,ni muda mrefu sasa yapata miaka mitano kila mwanamke ninayemtongoza ananikataa nishaurini nifanyeje watalaamu umri nao unasogea na naitaji mwanamke wa kuwa mke wa baadaye,yaani inafika wakati nakata tamaa kabisa kumtokea ata mwanamke nitakaye mpenda nikihofia atanikataa tu na kuna wengine nikiwaomba ata nafasi ya kuongea nao ili nitoa ya moyoni mwangu wanakataa Natanguliza shukrani naombeni ushauri.
 
inaonekana hujiamini tena sababu ya kukataliwa ama hofu ya kukataliwa.

Fanyia kazi kujiamini kwako kwanza kabla hujaenda kutongoza.

Afu hujachelewa, 25 bado sana
na katika maisha hakuna kuchelewa kwenye masuala ya mapenzi, mpenzi sahihi huja kwa muda wake.

Na kwama ni mwamini, kumbuka 'mke mwema anatoka kwa Mungu'
 
Kwa nini utolewe mbavuni kila siku wewe???? Dogo unafanya kazi gani na umesoma kidogo angalau mpaka fomu six???? Ulishawahi kunuka (scandal) hapo unapoishi ambapo scandal inakutesa hapo kitaani???
Mtoto wa kitaa changamka bana unaniangusha.
 
Last edited by a moderator:
ACHA UBAHILIIIII!!!!!!!!! BAHILI HAPATI MKE!!!!( Wahenga wakati wanatoa huo usemi hawakukurupuka, waliona enzi zao bahili wanaishi kwa upweke ndo wakaona watoe msemo kabisaaaa)
 
Waendelee hivyo hivyo ndugu yangu.. Huwezi jua unaepushwa na nini...
 
Mwanangu Mtoto wa Kitaa tatizo si akina mama bali wewe. Kama approach yako ni hovyo unategemea nini? Aliyependekeza kuweka picha amekusaidia zaidi. Kama huwezi basi tueleze mwonekano wako tutakusaidia. Pia fikiri kama kukata tamaa ni jibu uendelee kukata tamaa tena kwa nguvu zote.
 
Natumai unapenda kuwatokea masista du sana. Hili nina experience nalo kwani nami ndo tatizo langu pia. Miye dicent girl wananikubali sana ila sina amani nao kabsaa. Utaishia kukataliwa tu.
Hawa nafikiri unatakiwa kuwaendea kwa gia ya hela halafu baadae unamkoleza mpaka anashindwa kwenda kwa mwingine, na pia anasahau hela, badala ya kutumia hela yeye ndo anaenda kutafuta na kukuletea. Chezea mwanaume wa shoka wewe, pigwa nanihii mpaka anapiga chafya.
 
una bahati mbaya sana. mwenzio hadi nawakimbia yaani nawatafutia sababu. Inabidi uende kimboka na buku mbili ukaondoe mikosi/nuksi ya kukosa mademu. Jifunze kuweka hakiba. kabla hujaachana na demu hakikisha una demu.
MY TAKE;
bora utulie tu na unapo kataliwa shangilia sababu kuwa na demu ni kurisk maisha yako. Tambua kuwa na demu sio sifa. Mda ukifika watakutongoza wenyewe. EPUKA UKIMWI NA PRESHA YA MARA KWA MARA. mia
 
Dogo wa kitaa umeniacha hoi, na lundo la wanawake wote waliojaa town bado unalalamika kukataliwa? hembu tuweke wazi unataka mwanamke wa kuishi naye au ujifurahishe tu halafu uyumbe?
 
Kwa nini utolewe mbavuni kila siku wewe???? Dogo unafanya kazi gani na umesoma kidogo angalau mpaka fomu six???? Ulishawahi kunuka (scandal) hapo unapoishi ambapo scandal inakutesa hapo kitaani???
Mtoto wa kitaa changamka bana unaniangusha.
Elimu yangu ni fomu six na kazi yangu ni mfanya biashara.
 
Last edited by a moderator:
ACHA UBAHILIIIII!!!!!!!!! BAHILI HAPATI MKE!!!!( Wahenga wakati wanatoa huo usemi hawakukurupuka, waliona enzi zao bahili wanaishi kwa upweke ndo wakaona watoe msemo kabisaaaa)

tatizo sio ubaili lara, ni kwamba ata kunipa nafasi ya kuwa karibu nao wanatosa sijui ndo mikosi yenyewe.
 
Elimu yangu ni fomu six na kazi yangu ni mfanya biashara.

Mfanyabiashara siyo? Umekamilika kila kitu? PM nikufundishe jeuri ya pesa wewe! Halafu utakuja na thread nyingne hapa kesho kutwa. . .NINA MADEMU WATANO NIPENI USHAURI NICHAGUE YUPI..
 
Najua kuna wanawake Mob kitaa ila mwonekana wako pia unaweza wakimbiza warembo na Approach yako, kama usafi, vaa yako, tembea yako,,,!!! hata ukiwa na Doo kama una vaa ovyo, hujipendi mwenyewe, au usafi Zero nani atakubali kutoka nawe kwa Lunch au Dinna, Ji tathmini mwenyewe mapungufu yako then rekebisha uone kama utakosa mchuchu hata hata huna Doo
 
Watu bana! Eti aweke picha, hebu kaa tafakari jilinganishe na wenzio na uone wanacheza vp step, ila kukataliwa na vitoto vya siku hizi na dalili mbaya sana
 
ujanielewa mi sitafuti demu wa kuzugia ,ila natafta mwanamke ambaye atakuwa mke wangu wa baadaye.
 
Back
Top Bottom