Kila mwanamke anahitaji mwanaume na hakuna kupinga

Kila mwanamke anahitaji mwanaume na hakuna kupinga

Usikariri kijana,
Mwanamke anaweza kuishi na Mwanamke akafurahi maisha,

Mwanaume anaweza kuishi na Mwanaume akafurahi maisha,

Mwanamke anaweza kuishi peke yake akafurahi maisha,

Mwanaume anaweza kuishi peke yake akafurahi maisha,

Kupanga ni Kuchagua.

The best Medicine of Corona is to Stay Home.
Hapa una maanisha kulikuwa na technical Error, pale Mungu alipo umba Adamu na Eva na akawaweka pamoja
 
Hapa una maanisha kulikuwa na technical Error, pale Mungu alipo umba Adamu na Eva na akawaweka pamoja
Aliumba Adam na Hawa ili wazaane lakini hapo hapo akaumba Matasa na Wagumba,
Akili kichwani mwako

The best Medicine of Corona is to Stay Home.
 
Aliumba Adam na Hawa ili wazaane lakini hapo hapo akaumba Matasa na Wagumba,
Akili kichwani mwako

The best Medicine of Corona is to Stay Home.


Iko hivi: Miasha ya mahusiano kwa sasa kuna mambo mawili.
1. Kaa mwenyewe, uwena amani yako (amani yenye hofu)
2. Au olewa/oa mtu wa kufanana na wewe. hivyo tu
 
Iko hivi: Miasha ya mahusiano kwa sasa kuna mambo mawili.
1. Kaa mwenyewe, uwena amani yako (amani yenye hofu)
2. Au olewa/oa mtu wa kufanana na wewe. hivyo tu
3. Olewa/ oa garasa uwe philosopher
 
1: Kwa kupitia neno "woman"
Hili linadhihirisha wazi kabisa ndani ya mwanamke either kimwili na kiroho kuna mwanaume wake ambae ameumbiwa na anapaswa kulijua hili na kuachamitazamo kuwa anaweza ishi bila ya yy kua na mwanaume

Mkuu hapa napingana na wewe neno WOMAN ni man with womb...na si utopolo ulio tuandikia apo.....[emoji48]

am better here
 
Watu wa sodoma na Gomora baada ya Kua na Idadi kubwaaaaa sana ya wanaume kuliko wanawake., ndipo wakaanza kuingiliana kinyume na Maumbile yaan ukisikia Mwanaume anakula Mkunduu wa mwanaume mwenzake..... Ni matokeo ya Sodoma.


Adamu Baba yetu ,, baada ya siku zake kadhaa, kuzunguka huku huku akajawa na upweke mkubwa sababu NI yeye pekee alikua hana wa Jinsia yake tofauti... Sio jinsia sawa nayeye. ( Sijui mnanipata )



Wanaume ni viumbe ambao maisha yao yatakua magumu sana Bila mwanamke.


Ila wanawake wana uwezo wa kukaa maisha yao bila kumhitaji mwanaume.

Kwann wanawake wanafanya biashara ya ngono?? Kwasababu wanajua Tiba ya Hitaji la mwanaume lipo kwa Mwanamke.... Ninani anayemuhitaji mwenzake sana???.




Ushawahi jiuliza kwann wanawake wengine hawaangaikii sana habari za wanaume ?.yaan niyeye mwenyewe atakayeona sasa yafaa kua namtu.



Mmmhhhh tuongee yote sana, Dunia bila Mwanamke maisha yangeboa sana.... Wanaume tuna wahitaji sana wanawake.


Wanawake wao wanahitaji MTU mmoja aliyechaguzi sahihi , ni basi tu Mazingira na maisha kwa ujumla wake ndio yanayofanya waonekane ivo .
Yaani umeongea kitu.cha muhimu sana wanawake kukaa muda mrefu bila mwanamme inawezekana sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom