Kila mwanamke anahitaji mwanaume na hakuna kupinga

Hivi wanaume mbaki wenyewe kuna club, bar mkae bila wanawake baada ya mwezi si zaidi ya nusu
mtakuwa michicha pori tu, angalia wajane na wagane nani wanaishi wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ndiyo ukweli uliojificha
"Kila mwanamke anahitaji kuwa na mwanaume ila tu ni;

1. Roho ngumu zao ila mioyoni wana uhitaji.

2. Maumivu ya mwanzo yaliyowaumiza. Ila wanauhitaji.

3. Viapo vinawabana na kujikuta wanaishia kuwa na wanaume maofisini, kwenye biashara zao, kwenye kumbi za starehe na guests.

4. Kukata tamaa.

5. Kutopata bahati ya wanaume wanaowahitaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa sodoma na Gomora baada ya Kua na Idadi kubwaaaaa sana ya wanaume kuliko wanawake., ndipo wakaanza kuingiliana kinyume na Maumbile yaan ukisikia Mwanaume anakula Mkunduu wa mwanaume mwenzake..... Ni matokeo ya Sodoma.


Adamu Baba yetu ,, baada ya siku zake kadhaa, kuzunguka huku huku akajawa na upweke mkubwa sababu NI yeye pekee alikua hana wa Jinsia yake tofauti... Sio jinsia sawa nayeye. ( Sijui mnanipata )



Wanaume ni viumbe ambao maisha yao yatakua magumu sana Bila mwanamke.


Ila wanawake wana uwezo wa kukaa maisha yao bila kumhitaji mwanaume.

Kwann wanawake wanafanya biashara ya ngono?? Kwasababu wanajua Tiba ya Hitaji la mwanaume lipo kwa Mwanamke.... Ninani anayemuhitaji mwenzake sana???.




Ushawahi jiuliza kwann wanawake wengine hawaangaikii sana habari za wanaume ?.yaan niyeye mwenyewe atakayeona sasa yafaa kua namtu.



Mmmhhhh tuongee yote sana, Dunia bila Mwanamke maisha yangeboa sana.... Wanaume tuna wahitaji sana wanawake.


Wanawake wao wanahitaji MTU mmoja aliyechaguzi sahihi , ni basi tu Mazingira na maisha kwa ujumla wake ndio yanayofanya waonekane ivo .
 
Mwanamke akiwa na hela ,hamu ya kuwa na mwanaume inakuwa mbali sana.

Mwanaume akiwa na hela ,hamu ya kuwa na wanawake inaongezeka maradufu.
Ila hanubya kuhonga walizi na vijivulana inatoka wapi? Na anataka nini huko?

ciproflaxin
 
Wanawake wengi wenye pesa hawana wanaume
Ila wasio na pesa wanajikuta wapo kwenye mahusiano na hawajui kwann wapo
Ukifatilia background ya pesa zao utapata majibu mazuri... Badilikeni sasa

ciproflaxin
 
Umemaliza kila kitu imeisha hiyo na mjadala ufungwe
Usikariri kijana,
Mwanamke anaweza kuishi na Mwanamke akafurahi maisha,

Mwanaume anaweza kuishi na Mwanaume akafurahi maisha,

Mwanamke anaweza kuishi peke yake akafurahi maisha,

Mwanaume anaweza kuishi peke yake akafurahi maisha,

Kupanga ni Kuchagua.

The best Medicine of Corona is to Stay Home.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom