Kila muonja asali haonji kwa mara moja

Nimejiuliza maswali mengi sana......... fafanua kwanza............
 
kitendawili,tega.bandika nikubandue=picha!
 
Haueleweki, naona picha yako na kidem chako tu!
<img src="http://2.bp.blogspot.com/-Mg_lRZePwRk/TmdgJm_t7zI/AAAAAAAA9OE/GT4ufDcYc6M/s1600/T-M2.jpg" border="0" alt="" />
<br />
<br />
 
Mmmmhh!! Kila jukwaa lina wenyewe. Nimepita tu!
 
Sijakuelewa mkubwa fafanua....... wakaka wamependeza hawa, mashalaa.

Tazama vizuri huo mkono wa kushoto wa huyo bwabwa mweupe na haswa kidole kileeeee...........!!! Ee MUNGU turehemu!!
 
MMMh huyo wa kushoto mbona kavaa pete fulani fulani ambazo wanovikwa huulizw "WILL U MARRY ME"
Ha ha ha ha nadhani ndo maana kasema muonja asali haonji mara moja.
PRETA upooooo, nisaidia kuifafanua hiyo pete mpnz, au nimekosea???
 
kwanzaa kajamaa kamejichubuaa...kanaonekanaa kanaa swangaa za ki dadaaa,afu nikaimbaa tarabu ka bendi fulaniii hivi.maybe ni walewaleee ila sinauwakikaaa sija skiaa sauti yake
 
Huyo mwenye shati blue mmm!!! Kama vile sio mwanaume sawasawa
 
Hawa watoto watakuwa wanafanya matusi pamoja. Mmoja haswa mwenye blue atakuwa anafanya kama mama na mwingine baba.
 
those are craps...inatia kinyaa hasa ukimuangalia huyo mdada.aliyejichubua....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…