Kila mtu kwa imani yake aiombee Tanzania 🇹🇿

Tumesha omba sana mkuu, ingawa maombi ama kuomba hakuna mwisho ila wala kikomo ila sala , dua, mifungo, maombi ya mkesha, novena nk.
Kweli, huu ni wakati wa kujisaidia ili juhudi zionekane na maombi yajibiwe.
Acha wakati uamue na kusudi la Mungu liwe.
Kusema ukweli athari ni kubwa mno haswa huku dar es laam, kiasi hali inaogopesha ila tumaini la kesho nzuri lipo.
Hali si shwari, athari ni kubwa sana. Natumai tutavuka salama!
 
Kweli, huu ni wakati wa kujisaidia ili juhudi zionekane na maombi yajibiwe.

Hali si shwari, athari ni kubwa sana. natumai tutavuka salama!
Tutavuka salama ndugu yangu tena si muda toka sasa.
Siwezi amini muda huu polisi wapo mtaa wanyumbani wanarusha mabom, ni saa nne sasa, watoto wanastuka na kulia !

Kulikuwa hamna sababu ya kuja mpaka huku ndani ndani huku kuleta taharuki!
Ila wakati hata uwe mgumu kiasi gani huwa haudumu, isipo kuwa unacha funzo kubwa.
 
Poleni sana ndugu zetu!

Nafikiri wanajaribu kuwatisha au kuna vijana wamekimbilia huko kujificha.

Ni kweli kabisa, wakati huu utaacha alama isiyofutika kwa nchi yetu!
 
Kata ama eneo letu kwa siku ya leo na hata jana utulivu ni mkubwa.
Kwa sasa wanapita kila kichochoro, hadi mametokea nyumbani kwa mtu!

Hata hivyo tuendelee kuomba, usiku huu naamini wengi wetu tumejawa taharuki, hata ile kuomba itakiwavyo inaweza ngumu lakini maombi ya kimya kimya huwa yana nguvu haswa ya usiku.
 
Naona wana presha kweli kweli.
Hata hivyo tuendelee kuomba, usiku huu naamini wengi wetu tumejawa taharuki, hata ile kuomba itakiwavyo inaweza ngumu lakini maombi ya kimya kimya huwa yana nguvu haswa ya usiku.
Tuendelee kuomba, Mungu atusaidie na watoto wetu.
 
Watu wamechoka kuomba🙆‍♂️
Sijalala the whole night jana baada ya kuona ukatili na damu za watu zilivyomwagika.
Hata sielewi tutasonga mbele namna gani from here. Mungu atusaidie tu kwakweli.
 
Moderator Active na wenzako!

Sielewi kwanini moderators wanafungia mentions zangu. Kila nikitag watu hawapati notifications, naomba mniondolee hii restriction niweze kutafuta ndugu zangu 😭 .

PS:
Nafikiri hii pia ni silencing & it should never happen ON THIS PLATFORM.

Cc: Maxence Melo
 
Sijalala the whole night jana baada ya kuona ukatili na damu za watu zilivyomwagika.
Hata sielewi tutasonga mbele namna gani from here. Mungu atusaidie tu kwakweli.
I wish nisingeona walah! Yaani ni kuweweseka tu usiku kucha😭😭😭
Mbele ni giza.
 
Inaumiza sana, naogopa nikiwawaza Gen Z wa JF ambao najua walienda kwenye maandamano, sijui hata kama wote ni wazima au wengine nao wameuawa 💔😭

Mbele ni giza sana, sijui watatawala vipi nchi huku watu wana hasira na maumivu kiasi hiki.
 
Mtandao ukiwashwa ndio tutajua💔
 
Back
Top Bottom