"Nimecheka hadi wachawi huko nje wanaomba wanisaidie kushea nilichokiona jf
Twihihihihiiii
😂😂😂😂Leo nimeenda kanisani nikakuta mchungaji kapandisha mapepo...nikashindwa kushangaa asee!
Eti mi bikra simjui MWANAMKE..🥺🥺Kila Mtu Aongee Uongo Wake Hapa Naanza Mimi Nimesoma Na Barack Obama